Uchaguzi 2020 Dkt. Charles Kimei Mbunge mtarajiwa Vunjo

Hahaha hapo kwa Mbowe lipo wazi.
100% Mbowe is on mission aisee..

Mbowe was running on the corridors of White House akiwa mdogo, Mwalimu alikuwa akienda kikazi Kilimanjaro analala Machame kwa Mzee Aikaeli na sio Ikulu ndogo. Kuna watoto wa kike wa Mwalimu wamesoma Machame Girls na kabla ya kurudi likizo shule zikifungwa wanaenda kwa Mzee Aikaeli..

Haya yote na ukiangalia siasa za Mbowe na fix zake utajua tu kuna kitu..
 
nakushukuru kwa kuelewa kwamba Lowassa alishinda kwa zaidi ya kura mil 10 na aliyepata mil 3 unusu ndio akatangazwa , lakini elewa kwamba wengi watapiga kura kwa Lissu na hasa baada ya kufichua kwamba hatakubali kuibiwa
Tuombe uzima... Muda ni msemakwwli
 
100% Mbowe is on mission aisee..

Mbowe was running on the corridors of White House akiwa mdogo, Mwalimu alikuwa akienda kikazi Kilimanjaro analala Machame kwa Mzee Aikaeli na sio Ikulu ndogo. Kuna watoto wa kike wa Mwalimu wamesoma Machame Girls na kabla ya kurudi likizo shule zikifungwa wanaenda kwa Mzee Aikaeli..

Haya yote na ukiangalia siasa za Mbowe na fix zake utajua tu kuna kitu..

Sasa kuna watu hawajui yote hayo wanatokwa mishipa tu na kelele wanadhani ni rahisi ku-shift power kutoka CCM kwenda upinzani.
 
Yani unataka kuniambia wewe unaifahamu Vunjo kuliko mimi? Hahaha bado una marue rue ya kutoswa jimbo wewe.

Uliza saccos za kina mama kule na training jinsi ya kutunza fedha zao, harambee za mashule na barabara, kituo cha polisi center Marangu mtoni n.k
huwezi kusema unamfahamu mtu hapa jf , utajidanganya
 
100% Mbowe is on mission aisee..

Mbowe was running on the corridors of White House akiwa mdogo, Mwalimu alikuwa akienda kikazi Kilimanjaro analala Machame kwa Mzee Aikaeli na sio Ikulu ndogo. Kuna watoto wa kike wa Mwalimu wamesoma Machame Girls na kabla ya kurudi likizo shule zikifungwa wanaenda kwa Mzee Aikaeli..

Haya yote na ukiangalia siasa za Mbowe na fix zake utajua tu kuna kitu..
Mbowe na hata mdee ni maafisa wa usalama kitambo Sanaa.
Mbatia tangu Yupo kili boys Enzi baba yake mkulima bora wa kahawa kilimanjaro.

Idara imetapakaa Sanaa na Lissu atatulizwa tu.
Sijui Hawa watu, wanakwepakanaje
 
uongo utakusaidia nini ?
 
Mbowe na hata mdee ni maafisa wa usalama kitambo Sanaa.
Mbatia tangu Yupo kili boys Enzi baba yake mkulima bora wa kahawa kilimanjaro.

Idara imetapakaa Sanaa na Lissu atatulizwa tu.
Sijui Hawa watu, wanakwepakanaje

Lisu mwenyewe hasomeki, ni kama vile alikuwa...sema jamaa mbishi tu na kiburi.
 
Hata octoba ya 2015 Magufuli hakushinda , Kikwete , Kinana , January na Lubuva wanajua , lakini Lissu siyo Lowassa , ukitaka matokeo kamili njoo PM
Ina maana EL alishinda japo Ccm ilivuna majimbo mengi ya ubunge kuliko 'Ukawa'?...inawezekana hilo kutokea?...
 
Mbowe na hata mdee ni maafisa wa usalama kitambo Sanaa.
Mbatia tangu Yupo kili boys Enzi baba yake mkulima bora wa kahawa kilimanjaro.

Idara imetapakaa Sanaa na Lissu atatulizwa tu.
Sijui Hawa watu, wanakwepakanaje
System ya Tanzania ni ngumu sana mpinzani kupewa nchi.. Sababu kubwa ni hao wapinzani wenyewe ni mapandikizi ya TISS..

Yani watu wanakaa wakaamini kabisa Maalimu ni mpinzani 😂😂😂😂
 
Ina maana EL alishinda japo Ccm ilivuna majimbo mengi ya ubunge kuliko 'Ukawa'?...inawezekana hilo kutokea?...
Kuna majimbo mengi tu wapinzani walishinda ila wakurugenzi wakawatangaza wagombea wa CCM. Mfano jimbo la Nyamagana, Wenje alishinda ila Mabula ndio alie tangazwa.

Ili mgombea wa upinzani atangazwe mshindi ni mpaka damu imwagike au vurugu zitokee.

Hivyo kuna uwezekano mkubwa 2015 wagombea wengi wa CDM walishinda ila hawakutangazwa.
 
Hiyo ni kweli.
Mnyika tuingekaza angeoigwa bao.
Kura tulizilinda wananchi na vurugu za kutosha.
Hao majamaa walikuwa wanaleta maboksi yaliyokuwa na kura za ndiyo tayari.
 
Hawa mamluki wasiitosheka, akajiajiri, anataka bado kula cake ya kodi za wananchi! Shame!

Everyday is Saturday......................... 😎
 
Back
Top Bottom