Uchaguzi 2020 Dkt. Charles Kimei Mbunge mtarajiwa Vunjo

Huelewi utendaji serikalini uliza ueleweshwe.Katibu Mkuu ndiyo Accounting Officer, sisi waelewa tungeshangaa kama waziri angempelekesha KM. Hongera Dotto kwa kujua mipaka ya kazi.
Dotto ni katibu mkuu au umekurupuka?
 
Muhimu hiyo apewe kura mtu smart sana huyu.
 
Wewe huijui banking sector na unajiropokea tu. Fuatilia 1998-2018 kaifanyia nini CRDB kwa miaka 20.
Bila appreciation ya share price mwana hakuna kitu, maana hata dividend alikua hatoi. Ungeniambia aliyekuwa CEO wa TBL sawa, ila huyu alikuwa na strategy za kujiimarisha yeye kama yeye.
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni Dr Kimei ameingia CRDB ikiwa na thamani ya billion 54 na kaiacha inathamani ya trillion 5.3 that is a very impressive record yaani kaongeza thamani mara 1000% mtu kama huyo ata akilipwa million 100 kwa mwezi tunaruhusiwa kufyonza kwa hasira, but it’s justifiable he earned it based on performance.

Halafu kuna watu watakwambia Nehemia nae banker, my foot.

But he should retire kama serikali aimuitaji.
 
Mtu kama huyu hata akiwa mbunge inafaa sababu ataleta chachu na kuongeza vichwa vya uchumi pale bungeni.
 
Bila appreciation ya share price mwana hakuna kitu, maana hata dividend alikua hatoi. Ungeniambia aliyekuwa CEO wa TBL sawa, ila huyu alikuwa na strategy za kujiimarisha yeye kama yeye.
TBL??? Hapa tunacompare apple to apple... Kimei kafanya kazi kubwa sana timu yake nyuma.. Sidhani kama atatokea MD mastermind kama yeye..
 
Wewe una share CRDB?? Ulikuwa unahudhuria Annual Meetings kule Arusha?? Unafikiri kwanini sisi shareholders tulimwongezea muda baada ya yeye mwenyewe kutaka kupumzika??
 
Kwa sababu alikuwa amewahonga rushwa na hizo rushwa zake ndizo zitamfanya akose sifa ya kupewa nafasi ya kuwania ubunge kupitia CCM maana ana nuka rushwa ktk maisha yake ya utumishi kama CEO. Aliwalipa mpaka mtoe machozi
 
TBL??? Hapa tunacompare apple to apple... Kimei kafanya kazi kubwa sana timu yake nyuma.. Sidhani kama atatokea MD mastermind kama yeye..
Mtoa rushwa. Mimi siyo nampinga, ninachosema Mzee Kimei siyo msafi kama mnavyomdhania.
 
Kwa sababu alikuwa amewahonga rushwa na hizo rushwa zake ndizo zitamfanya akose sifa ya kupewa nafasi ya kuwania ubunge kupitia CCM maana ana nuka rushwa ktk maisha yake ya utumishi kama CEO. Aliwalipa mpaka mtoe machozi
Hahahaha sawa mkuu
 
Mtoa rushwa. Mimi siyo nampinga, ninachosema Mzee Kimei siyo msafi kama mnavyomdhania.
Kwahiyo alikuwa anatoa rushwa ili nini?? Au hizo rushwa ndio zilipandisha value ya CRDB kutoka 50bn mpaka 5.4trillion??
 
Atakuwa waziri viwanda na biashara. Maana pale fedha,Magufuli hawezi kuweka mchaga.
 
Mama Tanzania aanze kuaga Jimbo la Vunjo au ahamie Kawe!
 
Kiuongozi huyu ni mtu sahihi lakini tatizo ni chama tu anachogombea sidhani kama tutapata faida ya kumtumia...
 
Mbatia amelinyea jimbo. Aende zake. Hata upinzani haeleweki. Akapewe ubunge wa viti maalumu vya kina mama. Ana uzoefu navyo, alishaingia mjengoni kwa upendeleo wa Rais. Dume zima!!!!!
Kama alivyowahi kupewa kabla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…