- Thread starter
- #221
Kumbe kutoa Rushwa ndio kuliipaisha hivyo CRDB Bank.Mtoa rushwa. Mimi siyo nampinga, ninachosema Mzee Kimei siyo msafi kama mnavyomdhania.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni Kimei ni Genius huyo.
#Vunjotwendenakimei
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe kutoa Rushwa ndio kuliipaisha hivyo CRDB Bank.Mtoa rushwa. Mimi siyo nampinga, ninachosema Mzee Kimei siyo msafi kama mnavyomdhania.
Ili mradi tu usimkubali moja kw mojaKazi ile kwa kiasi kikubwa ilifanywa na wadenishi hadi walipoachia hisa zao miaka ya 2010. Unapomsifia hivyo kumbuka kulikuwa na ngozi nyeupe nyuma yake na walikuwa na karibu theluthi moja ya hisa na ndio waliiokoa miaka ya 1996 isiingie kaburini bila jeneza. Kiufupi ni mchapa kazi sana
Huo ndio ukweli mkuuIli mradi tu usimkubali moja kw moja
Kiufupi pamoja na mapungufu ya hapa na pale , Dr Kimei kaifanyia makubwa CRDB na kwa hilo asibezwe. Tuliowahi kufanya kazi chini yake tunao ushuhuda.Kwa sababu alikuwa amewahonga rushwa na hizo rushwa zake ndizo zitamfanya akose sifa ya kupewa nafasi ya kuwania ubunge kupitia CCM maana ana nuka rushwa ktk maisha yake ya utumishi kama CEO. Aliwalipa mpaka mtoe machozi
Halafu Dogo anakwenda na mbeleko ya Mama? Bora hata angeenda kugombea upande wa Baba (Upareni). Aibu nimeona mimiMtoto wa Mlaki ajitafakari aixee maana Dkt. Kimei ndio alimlea pale CRDB.
No alikua mzembe, wewe angalia bank ilikuwa na matawi mangapi? Je ufanisi? Kufanikiwa kunaangaliwa kwa share price appreciation na dividKiufupi pamoja na mapungufu ya hapa na pale , Dr Kimei kaifanyia makubwa CRDB na kwa hilo asibezwe. Tuliowahi kufanya kazi chini yake tunao ushuhuda.
Benki ilikuwa inajitanua kimkakati mkuu, kwa bashara nyingi kuspread too thin kwa muda mfupi ni risk sana. Kumbuka NMB ilirithi majengo karibu makao makuu ya wilaya nyingi tofauti na CRDB.No alikua mzembe, wewe angalia bank ilikuwa na matawi mangapi? Je ufanisi? Kufanikiwa kunaangaliwa kwa share price appreciation na divid
Jamaa ni mnyenyekevu sana, anafanya siasa safi. Kabla ya kuamua kuomba tiketi ya kuwania ubunge kupitia CCM jamaa alishafanya mengi jimboni ikiwemo kuchangia ujenzi wa hostel za wasichana Muungano sekondari, Mboni sekondari, ukarabati ofisi za saccos pamoja na mafunzo, ujenzi wa vituo vya polisi nk kiufupi jamaa anatosha. Namkubali sana
Habari za asubuhi wadau. Hapa Marangu Mamba Komakundi kibaridi ni kikali 12 centigrade.
Wapambe ni wengi nyumbani kwa Dokta Kimei hapa baada ya kujua Dokta atachukua fomu ya Ubunge Jimbo hili la Vunjo kupitia CCM.
Wapinzani wake wengi bado ni wachovu kama DC wa Zamani Chonjo.
Kila la heri Dokta Kimei.
Updates...
Mambo Tayari Dkt. Kimei Ashachukua Fomu.View attachment 1502594
View attachment 1506539
Bado hajawa bilionea......Huyu mzee kwa pesa zote za crdb ajaridhika Hadi apate na za ubunge
Arudi tu benki ya duniaMipango mnataka afe njaa?
KimeiKwa hiyo nani atakuwa waziri wa fedha kati ya Kimei na Mpamgo?
Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
Arudi tu benki ya dunia
Atapokelewa tu,si ndo Chaka lake la zamanAtampokea nani wakati tayari nafasi yake ishachukuliwa na wenye mahitaji ya hiyo nafasi?
Sasa Mh. Mpango utampa kazi gani?Namhusudu sana Mbatia ni basi tu. Ila Kimei alistahili kupewa ubunge viti maalum na kuwa waziri wa fedha kitambo sana.
AFADHALI ASHINDE KIMEI KULIKO HUYU DADA JAMES MBATIAheri jimbo wapewe sisiem lakini sio Mbatia,shenzi sana arudi kwenye viti maalumu na kina mama wenzie
Akili zingine bana!
Habari za asubuhi wadau. Hapa Marangu Mamba Komakundi kibaridi ni kikali 12 centigrade.
Wapambe ni wengi nyumbani kwa Dokta Kimei hapa baada ya kujua Dokta atachukua fomu ya Ubunge Jimbo hili la Vunjo kupitia CCM.
Wapinzani wake wengi bado ni wachovu kama DC wa Zamani Chonjo.
Kila la heri Dokta Kimei.
Updates...
Mambo Tayari Dkt. Kimei Ashachukua Fomu.View attachment 1502594
View attachment 1506539