Uchaguzi 2020 Dkt. Charles Kimei Mbunge mtarajiwa Vunjo

Mtoa rushwa. Mimi siyo nampinga, ninachosema Mzee Kimei siyo msafi kama mnavyomdhania.
Kumbe kutoa Rushwa ndio kuliipaisha hivyo CRDB Bank.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni Kimei ni Genius huyo.
#Vunjotwendenakimei
 
Ili mradi tu usimkubali moja kw moja
 
Kwa sababu alikuwa amewahonga rushwa na hizo rushwa zake ndizo zitamfanya akose sifa ya kupewa nafasi ya kuwania ubunge kupitia CCM maana ana nuka rushwa ktk maisha yake ya utumishi kama CEO. Aliwalipa mpaka mtoe machozi
Kiufupi pamoja na mapungufu ya hapa na pale , Dr Kimei kaifanyia makubwa CRDB na kwa hilo asibezwe. Tuliowahi kufanya kazi chini yake tunao ushuhuda.
 
Mtoto wa Mlaki ajitafakari aixee maana Dkt. Kimei ndio alimlea pale CRDB.
Halafu Dogo anakwenda na mbeleko ya Mama? Bora hata angeenda kugombea upande wa Baba (Upareni). Aibu nimeona mimi
 
Kiufupi pamoja na mapungufu ya hapa na pale , Dr Kimei kaifanyia makubwa CRDB na kwa hilo asibezwe. Tuliowahi kufanya kazi chini yake tunao ushuhuda.
No alikua mzembe, wewe angalia bank ilikuwa na matawi mangapi? Je ufanisi? Kufanikiwa kunaangaliwa kwa share price appreciation na divid
 
No alikua mzembe, wewe angalia bank ilikuwa na matawi mangapi? Je ufanisi? Kufanikiwa kunaangaliwa kwa share price appreciation na divid
Benki ilikuwa inajitanua kimkakati mkuu, kwa bashara nyingi kuspread too thin kwa muda mfupi ni risk sana. Kumbuka NMB ilirithi majengo karibu makao makuu ya wilaya nyingi tofauti na CRDB.
 
Jamaa ni mnyenyekevu sana, anafanya siasa safi. Kabla ya kuamua kuomba tiketi ya kuwania ubunge kupitia CCM jamaa alishafanya mengi jimboni ikiwemo kuchangia ujenzi wa hostel za wasichana Muungano sekondari, Mboni sekondari, ukarabati ofisi za saccos pamoja na mafunzo, ujenzi wa vituo vya polisi nk kiufupi jamaa anatosha. Namkubali sana
 
Mkumbuke alitoka CRDB kwa shinikizo la mkulu, tunamhitaji sana, tumuombee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…