Chadema Vunjo anagombea Grace Kiwelu japokua kwa jimbo la Vunjo Chadema hawana Rekodi nzuri hapo.
Yap wizara ya Fedha itamuhusu hapo mtaalam huyu wa Uchumi.
Huu uzi ungeanzisha labda mwaka 2012 au 2009 ungekuwa fire.
Habari za asubuhi wadau. Hapa Marangu Mamba Komakundi kibaridi ni kikali 12 centigrade.
Wapambe ni wengi nyumbani kwa Dokta Kimei hapa baada ya kujua Dokta atachukua fomu ya Ubunge Jimbo hili la Vunjo kupitia CCM.
Wapinzani wake wengi bado ni wachovu kama DC wa Zamani Chonjo.
Kila la heri Dokta Kimei.
Updates...
Mambo Tayari Dkt. Kimei Ashachukua Fomu.View attachment 1502594
View attachment 1506539
Grace Kiwelu sio jina Geni kwa wanaofuatilia Siasa Maana alikua mbunge Viti Maalum.Duh huyo Grace Kiwelu ndio nani? Mbona jina mpya kabisa hilo? Ila Vunjo jimbo ngumu sana..japo ndio nyumbani kwa muasisi mzee Mtei ila hawajawahi kuichagua Chadema. Halafu bado ni jimbo lenye wenyekiti wawili wa vyama vya upinzani, Mbatia na Mrema. Kwa haraka tu hapo huyo wa CDM ni kura yake tu atakayoipata.
Spin doctoring----- propagandist. wakati sisi kaskazini kura zetu nyingi tulizipeleka upinzani, wenzetu Mwanza, Simiyu, Shinyanga, Geita, Tabora, Dodoma, Iringa, Ruvuma, Katavi na Kagera walipeleka CCM. angalia takwimu za NEC wao ni kama 77% ya wapiga kura wote nchi yetu.nakushukuru kwa kuelewa kwamba Lowassa alishinda kwa zaidi ya kura mil 10 na aliyepata mil 3 unusu ndio akatangazwa , lakini elewa kwamba wengi watapiga kura kwa Lissu na hasa baada ya kufichua kwamba hatakubali kuibiwa
Hivi hizi habari za kijinga jinga hivi bado zina mashiko kwenye karne hii ya 21Mbowe na hata mdee ni maafisa wa usalama kitambo Sanaa.
Mbatia tangu Yupo kili boys Enzi baba yake mkulima bora wa kahawa kilimanjaro.
Idara imetapakaa Sanaa na Lissu atatulizwa tu.
Sijui Hawa watu, wanakwepakanaje
Grace Kiwelu sio jina Geni kwa wanaofuatilia Siasa Maana alikua mbunge Viti Maalum.
Aisee, nimecheka sana, arudi viti maalumu na kina mama wenzie!!! Dash!heri jimbo wapewe sisiem lakini sio Mbatia,shenzi sana arudi kwenye viti maalumu na kina mama wenzie
uongo hautakusaidia chochoteMkuu, kwa picha ya haraka hilo jini ni geni kwa watu wa Vunjo. Hana kitu cha kuongea akaeleweka au kukubalika. Atatumia ushawishi gani? Labda anatambulika ndani ya chama chake ila kwenye jamii ya wana Vunjo anatambulika vipi?
Mhh,tatizo awamu hii na hilo kabila sijui walimkosea nini Jiwe
uongo hautakusaidia chochote
Kimei kafanya Nini?Sema huyo Grace Kiwelu anamfahamu nani hulo Vunjo. Kafanya nini? Sasa John Mrema kashindwa na hesabu zake zote ndio huyu aweze?
Wizara ya Fedha ina mwenyewe. Biashara sawa.Duuh, Waziri wa fedha mtarajiwa, kila la kheir
Kimei kafanya Nini?
Jiwe ana ugonjwa wa kuwachukia na kuwashughulikia watu wa kabila la huyu jamaa. Sidhani kqma anaweza kumpa uwaziri nyeti kama huu. Yule yule (Muha) kondoo wake wa Sasa ataendelea na nafasi yake.Duuh, Waziri wa fedha mtarajiwa, kila la kheir
Huyu tunamkubali, aje kuisafisha wizara ya fedha.
Hawa wazee wetu wakae pembeni walee vijana sasa , wawaachie navijana walitumikie taifa lao.
Kimei JembeKasaidia ujenzi wa mashule, barabara, sacoss kwa kina mama na kituo cha polisi. Hivyo ni kwa uchache tu. Haya niambie Grace Kiwelu kafanya nini Vunjo..kitu gani kinamtambulisha kwa wana Vunjo?