Uchaguzi 2020 Dkt. Charles Kimei ndiye habari ya Mjini Vunjo

Uchaguzi 2020 Dkt. Charles Kimei ndiye habari ya Mjini Vunjo

Mrema ndio Mbunge wa vunjo. Mrema ana historia ya uchapa kazi nzuri vunjo na kitendo chake cha kuwa karibu na kumuunga mkono Rais, Dkt. Magufuli kitampa kura kwa sababu ya imani kubwa wananchi walionayo kwa Mhe. Rais kwamba anafanya kazi nzuri. Mrema ameshafanya kazi na Magufuli miaka ya 2010 - 2015 ambapo magufuli alikuwa waziri wa ujenzi na Mrema mbunge wa vunjo walishirikiana kujenga barabara jimboni humo.

Mrema kuteuliwa tena kuwa mwenyekiti wa bodi ya parole kwa kipindi cha pili 2020 - 2023 ni heshima kubwa aliyopewa na magufuli na yeye pekee yake kaingia kugombea ubunge bado kashikilia cheo alichopewa na Rais wengine wote wenye tamaa walitumbuliwa.Miradi mingi ya maendeleo ambayo alianzisha Mrema ilikufa baada ya Mbatia kuteuliwa wananchi wengi wanataka hiyo miradi irudi na anayeweza kuifufua ni Mrema.

Mfano barabara Kawawa-nduoni-kilema-marangu mtoni. Kipindi cha ubunge wa Mrema paliwekwa lami marangu mtoni mpaka kilema na kawawa mpaka nduoni. Lakini Mbatia alivyoingia kwenye ubunge lami hiyo haijaunganishwa nduoni mpaka kilema. Mrema ameahidi kuimalizia
 
porojo tuu niko hapa vunjo na sijasikia kelele za uchaguzi hata kidogo na huyo kimei wenu hamna kitu ikiwezekana arudi crdb tuu
 
Nahuko Kilimanjaro/Moshi kwa wasomi bado wanaichaguaga CCM?
Hivyo ndivyo tulivyoaminishwagwa kuwa huko tu ndo kuna asomi. Kumbe hata Waha na Wagogo wanamaprofesa 😲. Mie sikujuaga kama hata wasukuma wako waliosoma. Magu kanifanya nijue Kumbe kila mkoa/kanda wako walioendaga shule.
 
Hivyo ndivyo tulivyoaminishwagwa kuwa huko tu ndo kuna asomi. Kumbe hata Waha na Wagogo wanamaprofesa [emoji44]. Mie sikujuaga kama hata wasukuma wako waliosoma. Magu kanifanya nijue Kumbe kila mkoa/kanda wako walioendaga shule.
una matatizo basi
yani magu ndo amekufungua akili basi mda sio mrefu atakufunga tena
 
Ina maana JPM alimchuuza Mbatia kwa kumuahidi kumsaidia kupata wabunge wengi na kufanya NCCR kiwe chama kikuu cha upinzani?
 
Huyo Kimei tumemweka tu hapo kama geresha, hilo jimbo tumesha andikishana tumpe mbatia .ni kati ya Yale majimbo 20, Kimei hata akishinda hatatangazwa na yeye analijua hilo.na Kimei tutamteua na kumpa waziri wa Mipango na Soto James atabaki wizara ya fedha .Tunaenda kuzigawanya hizo wizara
 
Kwaiyo vunjo wanaotajwa sana ni Kimei wa CCM,Mbatia wa NCCR na Mrema wa TLP.
Mbona malalamiko fc Nyumbu wa Ufipa awamo,au uko vunjo awatakiwi kabisa hata kuonekana na wanavunjo?
 
Jana kajiunga rasmi TWITTER madongo aliyopigwa kule sijui kama atarudi tena.
 
Huyo Kimei tumemweka tu hapo kama geresha, hilo jimbo tumesha andikishana tumpe mbatia .ni kati ya Yale majimbo 20, Kimei hata akishinda hatatangazwa na yeye analijua hilo.na Kimei tutamteua na kumpa waziri wa Mipango na Soto James atabaki wizara ya fedha .Tunaenda kuzigawanya hizo wizara
Kwamba Mangi atapewa cheo cha kua waziri wa fedha?atapewa na nani mzee baba?
 
Huyo mzee angepumzika tu, siasa za makukwaani hizi na utu uzima huo ataziwezea wapi??
 
Jana kajiunga rasmi TWITTER madongo aliyopigwa kule sijui kama atarudi tena.

Nimeyaona
IMG_1598301491.507998.jpg
IMG_1598301517.717732.jpg
IMG_1598301533.862908.jpg
IMG_1598301544.074604.jpg
IMG_1598301558.024182.jpg
IMG_1598301572.011837.jpg
IMG_1598301585.697396.jpg
IMG_1598301597.032501.jpg
 
una matatizo basi
yani magu ndo amekufungua akili basi mda sio mrefu atakufunga tena
Asante kwa maoni yako. Ni kweli nilikaririgi kuwa wale jamaa ndo werevu wa kila kitu na bila wao mambo hayaendi. Kuwekwa kwao kando awamu hii, kumekuwa ndo baraka ya makabila mengine.
 
Charles Kimei hajulikani jimbo la vunjo na Kitendo cha halmashauri Kuu ya Kamati kuu ya CCM kukata Jina la inock koola zadock mtoto wa Tajiri wa kimarangu Mzee Koola(Mmiliki wa makampuni ya Zadock A1outdoor Africa), ambaye alishinda kura Za maoni imeigawanyisha CCM jimboni vunjo pande mbili, wanao muunga mkono kimei na wale walichukizwa na kitendo cha koola kukatwa. Palikuwa hakuna shamrashara kimei alivyotangazwa kama mgombea wa ubunge CCM vunjo. Pili, kulazimishwa kustaafu CRDB, wananchi wa vunjo wanajua Magufuli alishauri astaafu kuliko kutumbuliwa kwa kashfa ya kulipwa mil 45 kwa mwezi. Hawa ndio wale waliomchukiza magufuli kwa kulipwa zaidi ya mil 40 kwa mwezi na alisema hadharani.

Nae James Mbatia alivyoshinda ubunge 2015 alilikacha jimbo na hakufanya kitu na alikuwa anaonekana kwa nadra sana jimboni humo. Alichangisha kila kaya 20,000 Za kuchonga barabara Jambo ambalo halikulitekeleza na limewaudhi wananchi jimboni humo. Hawataki kumsikia, Jambo jingine ni kwamba mbatia ushindi wake wa 2015 ulibebwa na ukawa na dhana kwamba lowassa angekuwa Rais na mbatia kuwa waziri wa elimu lakini hicho kitu hakipo kwa sasa kila chama kinajigemea hata Chadema ilimsaidia ashinde 2015, mwaka huu wameweka mgombea grace kiwelo.

Vunjo wanachagua mtu na sio chama, ambaye ana historia nzuri vunjo ni Augustine Mrema na akicheza karata zake vizuri anachukua jimbo.
Umeanza vizuri ila hapo mwisho sasa pana ukakasi ila tuwaachie wana vunjo nawaaminia huwa hawapindui wakisema no haibadiliki muda utaongea
 
Back
Top Bottom