Amefuatilia hadi serikali chini ya SSH ilafanya mamboz,ulitaka afanye nini cha ziada ?Kwani wewe Kimei umefanya nini kama yote amefanya Raisi?
Uchaguzi ujao kaa pembeni wenye uwezo wafanye kazi kwani wewe umeungama hukufanya kitu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amefuatilia hadi serikali chini ya SSH ilafanya mamboz,ulitaka afanye nini cha ziada ?Kwani wewe Kimei umefanya nini kama yote amefanya Raisi?
Uchaguzi ujao kaa pembeni wenye uwezo wafanye kazi kwani wewe umeungama hukufanya kitu!
Andika jina la mumeo na unajua mimi naitwa nani? jina ni la baba ako?Mwanaume aliekamilika kwa nini afiche jina lake ?mbaya zaidi unatumia jina la mpuuzi mmoja ambae anaua waarabu
Ni Mangi alieficha jina lake ili tu atukane matusi kwenye mitandao ,hivi kweli unategemea kuitwa baba fulani au unaitwa baba fulani?familia yako kama ipo ni lazima tuiombee wasije rithi tabia za ajabu kama zako ,hivi utakuwa umejichubua ili ufanane na Netanyau halisi ehe?🙆♂️🙆♂️🙆♂️Andika jina la mumeo na unajua mimi naitwa nani? jina ni la baba ako?
Tetetete yaani wewe UWT ni hatari snNi Mangi alieficha jina lake ili tu atukane matusi kwenye mitandao ,hivi kweli unategemea kuitwa baba fulani au unaitwa baba fulani?familia yako kama ipo ni lazima tuiombee wasije rithi tabia za ajabu kama zako ,hivi utakuwa umejichubua ili ufanane na Netanyau halisi ehe?🙆♂️🙆♂️🙆♂️