wewe kama umekariri basi umekariri peke yako usijumuishe watu wote.Zimetusaidia nini hzo calculations?? Elimu yetu ya kukarriri ndio ikamtoa huko kwenye kuzalisha uchumi akawa mwanasiasa bassiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe kama umekariri basi umekariri peke yako usijumuishe watu wote.Zimetusaidia nini hzo calculations?? Elimu yetu ya kukarriri ndio ikamtoa huko kwenye kuzalisha uchumi akawa mwanasiasa bassiii
bila shaka litakuwa taifa jipya duniani.kufundisha kuna heshima kuliko uwaziri rais wa uran Ahmadinejad baada ya kustaafu urais aliludi kufundisha ili aendelee kutoa mchango kwenye taifa lake
Our thoughts and prayers to the family and all Tanzanians for his loss. He will greatly be missed.Aliyewahi kuwa mbunge wa Moshi vijijini na Mhadhiri wa UDOM, Dr. Cyrili Agusti Chami amefariki saa 8 usiku wakuamkia Leo Mjini Dodoma.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa!
===
View attachment 1619860
Dkt. Cyril Agustino Chami amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Benjamini Mkapa, Dodoma alikokuwa amelazwa kwa matibabu
Dkt. Chami aliwahi kuwa Mbunge wa Moshi Vijijini kupitia CCM, tangu 2005. Januari 2006 aliteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Februari 2008 aliteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko na alikuwa Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko mwaka 2010 hadi 2012.
Hadi mauti yanamkuta, Dr. Chami alikuwa Mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) katika Idara ya Uchumi.
Msiba upo nyumbani kwa marehemu Nzuguni.
Baada ya kifo...kufikia maisha ya raha ama adhabu sehemu zote hizo zinamilikiwa na Mungu mwenyezi.Hii huwa kujifariji tutarejea kama tu tutaishi maisha ya toba laah tutachomwa tu
Mbona inadeal na madokta na maprof huku gugambwike kimya kbsaMsisahau kuvaa barakoa, kunawa mikono kila mara na kubeba sanitiser. Epuka mikusanyiko na uchukue tahadhari.
Hii ya kitamboMadaktari wawili wamefariki siku moja. R.I.P.
Covid
R.I.P Dr na Mchumi mwenzangu.Aliyewahi kuwa mbunge wa Moshi vijijini na Mhadhiri wa UDOM, Dr. Cyrili Agusti Chami amefariki saa 8 usiku wakuamkia Leo Mjini Dodoma.