TANZIA Dkt. Cyril Chami afariki dunia

TANZIA Dkt. Cyril Chami afariki dunia

kufundisha kuna heshima kuliko uwaziri rais wa uran Ahmadinejad baada ya kustaafu urais aliludi kufundisha ili aendelee kutoa mchango kwenye taifa lake
bila shaka litakuwa taifa jipya duniani.
 
Aliyewahi kuwa mbunge wa Moshi vijijini na Mhadhiri wa UDOM, Dr. Cyrili Agusti Chami amefariki saa 8 usiku wakuamkia Leo Mjini Dodoma.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa!

===
View attachment 1619860
Dkt. Cyril Agustino Chami amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Benjamini Mkapa, Dodoma alikokuwa amelazwa kwa matibabu

Dkt. Chami aliwahi kuwa Mbunge wa Moshi Vijijini kupitia CCM, tangu 2005. Januari 2006 aliteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa

Februari 2008 aliteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko na alikuwa Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko mwaka 2010 hadi 2012.

Hadi mauti yanamkuta, Dr. Chami alikuwa Mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) katika Idara ya Uchumi.

Msiba upo nyumbani kwa marehemu Nzuguni.
Our thoughts and prayers to the family and all Tanzanians for his loss. He will greatly be missed.
 
Msisahau kuvaa barakoa, kunawa mikono kila mara na kubeba sanitiser. Epuka mikusanyiko na uchukue tahadhari.
Mbona inadeal na madokta na maprof huku gugambwike kimya kbsa
 
Aliyewahi kuwa mbunge wa Moshi vijijini na Mhadhiri wa UDOM, Dr. Cyrili Agusti Chami amefariki saa 8 usiku wakuamkia Leo Mjini Dodoma.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa!

===
View attachment 1619860
Dkt. Cyril Agustino Chami amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Benjamini Mkapa, Dodoma alikokuwa amelazwa kwa matibabu

Dkt. Chami aliwahi kuwa Mbunge wa Moshi Vijijini kupitia CCM, tangu 2005. Januari 2006 aliteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa

Februari 2008 aliteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko na alikuwa Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko mwaka 2010 hadi 2012.

Hadi mauti yanamkuta, Dr. Chami alikuwa Mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) katika Idara ya Uchumi.

Msiba upo nyumbani kwa marehemu Nzuguni.
R.I.P Dr na Mchumi mwenzangu.
 
Back
Top Bottom