Pre GE2025 Dkt. Damas Ndumbaro agawa Mitungi ya Gesi 150 Songea Mjini, Wanawake wamshukuru sana

Pre GE2025 Dkt. Damas Ndumbaro agawa Mitungi ya Gesi 150 Songea Mjini, Wanawake wamshukuru sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
Dkt. Damas Ndumbaro ambaye ni Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini amegawa Majiko ya Gesi 150 ya kupikia pamoja na Viambata vyake kwa Wanawake wa Kata 21 za Jimbo la Songea Mjini
Screenshot 2024-12-28 at 13-59-16 Instagram.png

"Mapema Desemba 27, 2024 hapa manispaa ya Songea Mjini nikiambatana na Kamati ya Mfuko wa Jimbo nimegawa mitungi ya gesi zaidi ya 150 kwa wanawake wajasiliamali (Mama lishe) wa Kata zote 21 za Jimbo la Songea Mjini" Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro

"Hii Ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo ya Rais wetu mpendwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ya matumizi ya nishati safi ya kupikia ili kuepukana na mabadiliko ya tabia ya nchi yatokanayo na matumizi ya nishati ambazo ni adui wa mazingira ikiwemo Kuni na Mkaa" Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro
Screenshot 2024-12-28 at 13-59-21 Instagram.png
Screenshot 2024-12-28 at 13-59-27 Instagram.png
Screenshot 2024-12-28 at 13-59-36 Instagram.png
Screenshot 2024-12-28 at 13-59-41 Instagram.png
 
Back
Top Bottom