TANZIA Dkt. Deogratius Rugaimukamu afariki dunia

Rest well Deogratius Rugaimukamu
Pole kwa wafiwa na wote walioguswa na msiba
 
R. I. P. Deo. POLENI SANA PROFS. KATAPA , AKARO NA MBAGO KWA KUONDOKEWA NA MWENZENU.!
 
Rest in peace mwalimu wangu Dr. Rugaimukamu.
Poleni sana nyote mlioguswa na msiba huu.
 
Siku hizi hatuambiwi chanzo cha kifo. RIP professor
 
Daa RIP babu. Kanifundisha Linear modal , ni pigo kwa wanafunzi wa actuarial science na takwimu . Mzee alikuwa anahekima sana na hakasiriki
 
Corona.si unaona watabiri wanavyopiga ramli?
Sikuwa na access na was up ya classmates leo ndio nimepata na kuufahamisha umma wa jf .. je, ni kosa ?
na kabla sijapost hapa nmejiridhisha hakuna habari kama Hyo hapa jukwaani.
Wasiwasi wako ni Nini labda?
 
Kuna marufuku ya kujadili ugonjwa fulani toka Tisiaraei inatrend watsap..watu wafanyeje?.

tuendelee kuchukua tahadhari
 
Kuna marufuku ya kujadili ugonjwa fulani toka Tisiaraei inatrend watsap..watu wafanyeje?.

tuendelee kuchukua tahadhari
Huutaji. Sema “nyumonia” au “changamoto ya upumuaji” huku ukichukua hatua stahiki
 
Hakuna corona wewe acha kudanganya umma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…