Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kushangilia na kuwasifia wanaotamani itupate hata mbaki wenyewe.Huyu kafa kwa pneumonia?
Nani anashangilia na kusifia?Endelea kushangilia na kuwasifia wanaotamani itupate hata mbaki wenyewe.
Hata Mimi siwajui bado,ila wapoNani anashangilia na kusifia?
Sikuwa na access na was up ya classmates leo ndio nimepata na kuufahamisha umma wa jf .. je, ni kosa ?
na kabla sijapost hapa nmejiridhisha hakuna habari kama Hyo hapa jukwaani.
Wasiwasi wako ni Nini labda?
Kuna marufuku ya kujadili ugonjwa fulani toka Tisiaraei inatrend watsap..watu wafanyeje?.Wekeni potential solutions ya nini kifanyike practically in our context na labda atafanya maana ni member humu na anasoma comments daily. Kulalamika tuuu haitusaidii sisi wote
Poleni sana kwa msiba. Hili janga sasa imefika mahali liwe personalized na kila mtu ajikinge kivyake.
Utakua mmoja wao😃😃😃😃Hata Mimi siwajui bado,ila wapo
Huutaji. Sema “nyumonia” au “changamoto ya upumuaji” huku ukichukua hatua stahikiKuna marufuku ya kujadili ugonjwa fulani toka Tisiaraei inatrend watsap..watu wafanyeje?.
tuendelee kuchukua tahadhari
Hakuna corona wewe acha kudanganya ummaJamani family yoyote yenye watu wakubwa au maradhi mengine tuache kuwatembela bila sababu muhimu tuwalinde hawa wazee. Kijana unaweza kuwa na corona lakini usijue ukampa mzee ukamleta matatizo. sisemi kama hii corona inaweza kuwa issue nyingine ila hili ni angalizo tu punguzeni visafari kwa wazee au ziara sio za lazima. pigeni simu tu kwa sasa.
Maana mnadai Jf tanzia zimezidi!