TANZIA Dkt. Deogratius Rugaimukamu afariki dunia

TANZIA Dkt. Deogratius Rugaimukamu afariki dunia

Sahvi ni kujiongeza wazee
Epuka misongamano isiyokuwa ya lazima
Nawa mikono mara kwa mara,vaa barakoa,
Tusipeane mikono wala kukombatiana

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Jonijo wale jamaa waliomzunguka wote wanashndwa mshauri!?

Kama kawaida yao bila shaka wanashauri kwa kumsoma anataka ashauriwe je.

Kama umeokotwa jalalani maslahi yetu yanaweza kuwa na thamani yoyote kwako kweli?

Kuwategemea hao washauri ni heri kuamini kuwa hili gonjwa halipo na lilishamalizwa zamani sana tena kwa maombi tu.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Haipiti siku bila Tanzia ya hawa wanene, sasa jiulize sisi vimbaumbau tunakufa kwa kasi gani?
 
Usisubiri kutangaziwa kuchukua tahadhari juu ya afya yako !!


Kikubwa jilinde ww na familia yako,,,
Sanitaiza
Epuka mikusanyiko
Mitoko isio na lazima epuka,,,
Vaa mask !

Matatizo ya kushindwa kupumua Ni mengi Sana yanaibuka kila kukicha,,,,
Kwani kushindwa kupumua kunasababishwa na Corona tu???. Maana naona umeweka mambo ya kujisanitaizi.
 
Mtu mmoja ana uwezo hadi wa kuamua hatima ya afya za mamilioni ya watu.

Kweli tuna katiba sio ya kijinga tu ni ya kipumbavu kabisa. I lost a person of my family today in the morning kwa changamoto ya upumuaji.

Tuendelee kupiga nyungu. Mitano tena
Kwa hiyo unataka awafungie watu ndani??
Ebu acha upumbavu wako wewe
Kuna mtu amekunyima usivae barokoa??
Kunawa mikono??
Au unataka huyo mtu mmoja aje akunawishe??
Ficha upumbavu wako
 
Mbona wakodisha magari pale Biafra wanalia biashara ngumu, kwamba hata Moshi hawaendi sana?
Mpumbavu mkubwa wewe moshi imekufanya nn wewe matako??
Hizo chuki zako zitakuuwa mwenyewe
Tena wewe utakua mchawi
Unachuki hadi matakoni bahati nzur huwez kuwafanya chochote hao shemeji zangu
Utaumia mwenyewe tuu
 
Kama sipo chaka huyu Dk alinifundisha 1st yr alikuwa anapenda kuvaa sandals na alikuwa poa sana ktk ufundishaji na hata test zake labda uwe kilaza sana ndiyo ushindwe

Bwana awafariji familia ndugu jamaa na marafiki. Sisi tuaminio ktk Kristo tunalo tumaini ya kuonana na wapendwa wetu tunaotengana nao kwa njia ya mauti ikiwa watalala wakiwa wamemchagua.
 
Mpumbavu mkubwa wewe moshi imekufanya nn wewe matako??
Hizo chuki zako zitakuuwa mwenyewe
Tena wewe utakua mchawi
Unachuki hadi matakoni bahati nzur huwez kuwafanya chochote hao shemeji zangu
Utaumia mwenyewe tuu
Hahahaaaa...... Manka umeshafuraaaass!
 
Huyu jamaa alifanya nione shule ya third year rahisi sana

RIP Dr. Rugaimukamu.
 
Mbona wakodisha magari pale Biafra wanalia biashara ngumu, kwamba hata Moshi hawaendi sana?
Kwani una duka la zile nguo nyeupe,au katakana ya yale makabati ya kulala,au zile gari za kukodi.Mbona unawaombea wa upande huo mabaya.
 
Wapambe wa chama cha mbogamboga toka lini mkapata akili.

Kwa nini mdanganye mmeifurumusha changamoto ya upumuaji kwa maombi?

Siku ikila kichwa mzazi wako au mwanao ndio utajua we fala tu mbele ya hao unaowatetea.
Acha ujinga wewe kigagula
Kwa hiyo unataka mfungiwe ndani??
Mjinga wewe?? Utakula mavi yako??
Mtu mwenyewe mpaka hangaike kama kuku ndiyo muweze kula leo hii unabinua mdomo unasema fefefefefe zako pumbavu
Hatufungii mtu ndani wakufa afe wakuishi waishi
Nature itaamua yenyewe
Kwa hiyo mkiwekwa ndani ndiyo mtapata dawa?? Wajinga nyie
 
Back
Top Bottom