Dkt. Dorothy Gwajima ana kitu atafika mbali

Alikua anakera sana yani jins alivokua akifanya kazi mim adi leo simuelew kabisa sabu nahis akija rais kama jiwe atakua kama vile tena
Tumuhukumu kwa anachokifanya sasa na sio atakaloweza kufanya baadae. Kwa sasa yupo vizuri mno. Ni mmoja kati ya mawaziri ambao wapo hands on katika mambo yanayohusiana na wizara yake.
 
Haina haja ya kumsifu hapa
 
shida ya nchi yetu ipo hapo yani wanapo gawana vyeo wanasahau kutoa vyeo kwa watu sahihi... eti dokta anapelekwa kwenye sheria... mwanasheria anapelekwa kwenye ardhi na mipango miji... yani ni mchanganyiko wa hovyo sana​
Hilo ni tatizo ambalo nadhani wahusika wange lizingatia katika majukumu ya ki-utendaji. Huyu mama alifaa sana pale Afya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…