Dkt. Dorothy Gwajima ana kitu atafika mbali

Dkt. Dorothy Gwajima ana kitu atafika mbali

Alikua anakera sana yani jins alivokua akifanya kazi mim adi leo simuelew kabisa sabu nahis akija rais kama jiwe atakua kama vile tena
Tumuhukumu kwa anachokifanya sasa na sio atakaloweza kufanya baadae. Kwa sasa yupo vizuri mno. Ni mmoja kati ya mawaziri ambao wapo hands on katika mambo yanayohusiana na wizara yake.
 
Kuna level sisi watu wa aina yangu tumevuka zamani sana. Nyie vilaza na maskini wa fikra ndo mnaweza fikiria. Ukisoma nyuzi zangu utagundua ni mtu independent najitegemea kifikra, kiuchumi na kiimani. Sina rafiki wala adui wa kudumu. Nina maslahi ya Tanzania ya kidumu tu.

Na bahati mbaya au nzuri hata Dkt Gwajima sifahamiani naye na hatujawahi kutana. So ukifikiria hivyo ni haki yako ya kimsingi wala hupaswi kupotezwa. Nakupongeza.
Haina haja ya kumsifu hapa
 
shida ya nchi yetu ipo hapo yani wanapo gawana vyeo wanasahau kutoa vyeo kwa watu sahihi... eti dokta anapelekwa kwenye sheria... mwanasheria anapelekwa kwenye ardhi na mipango miji... yani ni mchanganyiko wa hovyo sana​
Hilo ni tatizo ambalo nadhani wahusika wange lizingatia katika majukumu ya ki-utendaji. Huyu mama alifaa sana pale Afya
 
Back
Top Bottom