Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kuna mtu amemzuia kuichapa hiyo kazi ?
Acheni mama Gwajima achape kazi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni mama Gwajima achape kazi!
Pole sana mkuu,unashangilia madaktari wetu kunyooshwa badala ya kutiwa moyo?
Madaktari wetu wanahitaji kufanya kazi katika mazingira tulivu bila kuingiliwa na wanasiasa
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Hata wewe Janee? My God!!!!
Kitu ambacho atujaonyeshwa kwenye hizi clips hadi yeye kujitapa; ni auditing skills alizotumia hadi kubaini uongo waliotaka kumletea.
Ndio maana huwa anasema angekuwa mtu mwingine si wangemribuni kirahisi ila sio yeye wakajipange.
Hahahaa ukiumwa na wewe utanyoshwa na madaktariAcha maza aendelee kutuburudisha kwa vichambo.
Nampenda huyu mama kwa staili yake ya kuongea.
Madaktari mtanyooka tu na mimi nasema awanyooshe tu cumamae zenu[emoji23][emoji23][emoji23] maana hakuna namna nyingine.
Lugola alikua ananinyooshea polisi, huyu mama amekuja kuwanyoosha madaktari. Safi sana.
Mimi nanunua kwa shs 19000Serikali kiwanda cha nyati cement wamefunga kiwanda Chao kwa ajili ya matengenezo.mpaka tarehe 5 mwezi wa 2.
Mmejiandaje na uhaba wa cement?
Pia Bei huku mitaani ni 16,000 kwa 15,000
Bado Ni moto
Irene Uwoya angepewa iyo wizara angemzidi hata huto mama. Hivi ni kweli phd yake ni halali?Wakuu habari za mchana.
Naomba walio karibu na huyu mama waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na watoto, wampe semina ya ku-behave kama top government official. Naona hilo linamshinda. Mama atulize ubongo aje na solutions. Aache majungu na malalamiko kila kukicha.
Hizi clip tunazoziona hazimpi heshima kabisa. Anajiita Field Marshall wa wizara lkn mimi namuona bado sana.
Kama ana vinyongo na maumivu ya huko nyuma, asahau. Ajulishwe majukumu yake kama waziri. Aache kuleta viswahili kama vya vijiwe vya kina mama wakiwa peke yao.
Madaktari wanatunyoosha kila siku,wengi wanadharau siku nilimpeleka Bi mkubwa pale Amana tena usiku ana hali mbaya ila Kale kadktari kanachat na smartphone yake huku anatuuliza maswali yani hata hatuangalii mara atukolomee. Sema ndio hivyo inabidi uwe mpole ila unaweza ukawatia makofi bure.Hahahaa ukiumwa na wewe utanyoshwa na madaktari
Leo umeamkaje mkuu? Kwasababu wewe ni kutetea tu kila kituPole sana mkuu,unashangilia madaktari wetu kunyooshwa badala ya kutiwa moyo?
Madaktari wetu wanahitaji kufanya kazi katika mazingira tulivu bila kuingiliwa na wanasiasa
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Sasa hapo anasafisha au anachamba!?Wewe na wenzako acheni wizi wa madawa.mama yuko sawa acheni majungu.
Mnataka waziri aje mumfungulie milango ya gari kisha mumdanganye aondoke?
Wizara ya afya ni moja ya wizara nyeti sana nchini ikihusu uhai wa WATANZANIA.
Pia wizara hii imejaa ufisadi wa kutisha kwa muda mrefu sana.
Mfano ni hivi majuzi pale MOI muhimbli na hapo UKEREWE.
Acheni mama asafishe uozo.
Mngekuwa wastaarabu msngeiba madawa na kuacha ndugu zetu wakifa mahospitalini
SHAME ON ALL OF YOU THIEFS
Nilikuuliza sana baada ya kuniangalia hii clip video kwamba huyu ndiye waziri anaongea hivi na subordinates wake hivi as if anapashana habari na majirani zake mtaani dah!
Imebidi mpaka nicheke, bora ulivyomjibu hivi huyo jamaa. Eti anasafisha😆😆Sasa hapo anasafisha au anachamba!?
Kila clip anaonekana akichamba wenzie na kuwadharau
Watu wanamlalamikia kwa kujifanya anajua kuliko mtu yeyote kwenye hio wizara
Anamdharau mpaka mtangulizi wake ummy kana kwamba hakuna alichofanya mpaka anakuja yeye
Inaonekana amezoea kuchambana huko vijiweni
Shame!
Kwa namna navyomuona hata hashauriki mgumu mgumu, naibu wake atapata tabu sana kuendesha wizara kama teammateWakuu habari za mchana.
Naomba walio karibu na huyu mama waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na watoto, wampe semina ya ku-behave kama top government official. Naona hilo linamshinda. Mama atulize ubongo aje na solutions. Aache majungu na malalamiko kila kukicha.
Hizi clip tunazoziona hazimpi heshima kabisa. Anajiita Field Marshall wa wizara lkn mimi namuona bado sana.
Kama ana vinyongo na maumivu ya huko nyuma, asahau. Ajulishwe majukumu yake kama waziri. Aache kuleta viswahili kama vya vijiwe vya kina mama wakiwa peke yao.
Wewe nawe ni kama mpambe nuksi tu huna lolote, kwanza Kwa mishahara gani wanaolipwa madaktari na hizo posho wanazopata ukilinganisha na majukumu yao mpaka wanyoshwe, tuanze na maslahi yao kama watumishi wa umma kwanza ni vyema ifike mahali walimu, madaktari waangaliwe sana kwenye stahiki zaoAcha maza aendelee kutuburudisha kwa vichambo.
Nampenda huyu mama kwa staili yake ya kuongea.
Madaktari mtanyooka tu na mimi nasema awanyooshe tu cumamae zenu[emoji23][emoji23][emoji23] maana hakuna namna nyingine.
Lugola alikua ananinyooshea polisi, huyu mama amekuja kuwanyoosha madaktari. Safi sana.
Madaraka hayamuongezei mtu maarifa, ufahamu na hekima bali yanamfunua alivyo mjinga!Wakuu habari za mchana.
Naomba walio karibu na huyu mama waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na watoto, wampe semina ya ku-behave kama top government official. Naona hilo linamshinda. Mama atulize ubongo aje na solutions. Aache majungu na malalamiko kila kukicha.
Hizi clip tunazoziona hazimpi heshima kabisa. Anajiita Field Marshall wa wizara lkn mimi namuona bado sana.
Kama ana vinyongo na maumivu ya huko nyuma, asahau. Ajulishwe majukumu yake kama waziri. Aache kuleta viswahili kama vya vijiwe vya kina mama wakiwa peke yao.
Waboreshe stahiki kwanzamkuu acheni kuiba dawa
Mafuta ya kupikia na baadhi ya nafaka zimepanda beiSerikali kiwanda cha nyati cement wamefunga kiwanda Chao kwa ajili ya matengenezo.mpaka tarehe 5 mwezi wa 2.
Mmejiandaje na uhaba wa cement?
Pia Bei huku mitaani ni 16,000 kwa 15,000
Bado Ni moto