Dkt. Dorothy Gwajima: Kama unataka nitumbuliwe ili uchukue nafasi yangu, fanya kazi zaidi yangu sio ufitini

Ukiona hivyo ujue hayo ni majungu
 
Kwa akili fupi kama hizi Tanzania itachukua miaka mingi kupata maendeleo
 
Maneno meengi hayatazuia watu kuiba dawa. Ni mabadiliko ya taratibu na kanuni ndio huleta mabadiliko mahali popote penye watu wengi. Atapiga kelelee mwishowe ataondoka bila mabadiliko yoyote.
She must come with solutions not noises.
Aje na mikakati mipya ya kudhibiti wizi wa dawa
 
Kuna priority Mkuu, una Paracetamol chache mtu anakuja na mild pain ukimwangalia unamuona kbs akipumzika maumivu yanaweza isha sasa kwanini usizitunze ili akija mwenye maumivu makali ndo umpe
Hoja kuntu labisa na ukiangalia zile dawa zilikuwa kwa dirisha la bima ni inbox 30 tu ambaozo ni sawa na makopo matatu
 
kwa hiyo wabadhirifu wa mali za umma waachwe waendelee na ujanja wao?! huyu waziri ni muwazi na ni mtu mkweli hapindishi hata kidogo, alipigwa majungu sana kwaajili ya misimamo yake, walaji kama kawaida wakampiga jungu na fitina, lkn alhamdulilai JPM ni mtu asiye endekeza wala kusikiliza majungu kampa uwaziri, sasa watu walewale wanaliazisha jungu tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unangeea utopolo tu wew uanfikiri watu wananunua dawa mda wote kwamba hela ya kufanya hivyo ipo tu MDA wote
 
Anawaita afya officers wezi wa dawa [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Hauko sawa hata kidogo nikuulize tu kama ushawahi kufuatilia huduma za afya kwenye Hospitali yoyote ile ya Serikali, Hakuna hata moja utanikuta salaam yaani haina malalamiko kutoka kwa wagonjwa kwa hivyo Waziri lazima apambane nap kadri ya uwezo wake mbali na taaluma kwakuwa Watanzania wengi wakiwa kwenye majukum yao hujisahau Sana . Mama Dr. Dorothy yupo sawa na katika kufanya mambo yaende mda mwingine lazima umpeleke mtu mchakamchaka ndio aelewe nini anatakiwa kufanya kazi ifanyike kama inavyotakiwa.
 
Ukimfuatilia vizuri wala hata hakuna anayemnyoosha hadi sasa. Yeye ni full kubwabwaja tu. Yaani hata haeleweki kama kweli yupo serious au labda anafanyia mzaha hiyo kazi. Huyu waziri utendaji wake haueleweki kabisa.
Tangu niifahamu id hii nimesoma bonhe la point
 
Uongozi ni hekima. Sio ku"rap".

Kwa mfano, kama yeye hadanganyiki na anawajua wezi wa dawa, anatakiwa aweke mtego awakamate kisha wapelekwe mbele ya sheria, sheria ichukue mkondo wake.

Tunataka vitendo, sio maneno!


YESU NI BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU.
 
Wana uhusiano gani na Askofu Gwajima? Wte wawili wana kipaji cha kuongea (good oraters).
 
Acha watu mnyooke! Wizara ya Afya ni wizara ya hovyo kabisa! Ukiwachekea hawa, kesho tu utasikia wanaingiza maji kwamba ni chanjo ya polio. Walishafanya hawa. Halafu wanadhani hawaguswi kwa makosa yao. Wizi ni wizi tu!
 
Leo hii ndo unashangaa majina ya Field Marshal? Hukuwahi kusikia Komando? Hukuwahi kusikia Maji marefu? Naona kama wewe ndo mende tu! Wizara hiyo tunawajua. Miaka yote munajidai ni wizara ya kitaalamu mnooo!! kumbe wapi! Wizi tu! Tangu wizarani hadi dispensary ni wizi tu. Ndo mulichosomea? Lazima mtu ahangaike nanyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…