Dkt. Dorothy Gwajima: Kama unataka nitumbuliwe ili uchukue nafasi yangu, fanya kazi zaidi yangu sio ufitini

Aliyemwambia kuwa watu wanaitaka nafas yake ni nani?

Ye afanye kazi kistaarabu, aache kudhalilisha watumishi wake...


Ila nadhan "ndoa" yake ina walakini...ama kuna shida kichwan hayuko sawa
Na yeye atakuwa kaokotwa jaralani
 
Hivyo ndivyo mkuu wake anavyotaka.

Wala yeye hana shida kiakili.
 
Kazi ipo, huku naibu wake kutimua timua watu huku waziri kutoa vitisho lukuki. Eeeeh ngachoka.
 
Sio akili tu apimwe na mkojo pia
 
Huyu mama kila nikiona clip yake kwenye social media huwa nai Skip haraka nisiingalie..
Mana anatia aibu sana, yan mtu professional kabisa kweny taaluma ya Afya unaongea porojo porojo tu.
 
Mbona hata Jaffo hajarelax kwenye wizara yake lakini hajaanzishiwa mada?
 
Mi mwenyewe namuona kama kuna kitu hakipo sawa kichwani... anatumia nguvu nyingi sana kama LUGOLA
Amemzidi matumizi ya nguvu, LUGOLA, alijua kukata miuno, siyo kusuta weeh!
Huyu field Marshall wa afya, anasuta huku kashika kiuno na macho katumbua ka Asha Ngedere!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Mkuu kaa utulie, matatizo makubwa kwenye sekta ya afya nchi hii ni idadi ndogo ya watumishi, dawa hazitoshi, miundombinu mibovu, vifaa tiba ni tatizo, bima ya afya yenyewe majanga matupu, seminars zote zimefutwa siku hizi. Kwahiyo yote anayoyazungumza mzizi mkuu upo kwenye matatizo hayo hapo juu, yeye hajikiti kwenye kutatua hayo anajikita kwenye matokeo ya hayo matatizo, ukimchunguza sana anatafuta KiKi kutoka kwa mkulu...
 
Ninyi mnaomkoromea huyu mama, hivi mnafahamu madudu yaliyopo sekta ya afya?

Maujinga wanayofanya watu wengi ndio yanasababisha mtu mzima kama Dr Gwajima aonekane kama mwehu...

Watendaji wa sekta ya afya wana maujinga sana
Tutake radhi na utupongeze km utaweza kaka, hivi unajua hospital inayotakiwa kuwa na maDr 10 kiuhalisia wanakuwa watatu tu, unajua mzigo tunaoupiga ni mwingi mno, bahat mbaya mgonjwa hajui hilo, yeye anataka huduma tu, lakin mkumbuke sisi pia ni binadamu kuna uchovu mkuu. Anyway tutajitahidi japo hakuna anayetupongeza, kila mtu anatuponda tu, ila sio shida tutapiga kazi maana kwetu hii ni km imani.
 

.View attachment 1679387 utafikri mkulima wa kijijini kwetu!
Waziri utafikri mkulima wa kijijini kwetu!
 

 
Japo kabla hajawa alipo sasa alikuwa mtatuzi mzuri sana wa matatizo kwenye vitengo alivyokuwepo bila kuacha alama hasi.
 
Anapanda mbigili nyuma ya njia aliyopita hajui anaweza kupita humo wakati was kurudi. Au anajua ndio hataitumia? Maisha haya!
 
Atanii anaposema yeye ni field Marshall kwenye hiyo wizara ni hivi:

Yeye ni M.D by trade na ame practice hiyo kazi at delivery level

Amekuwa DMO na RMO anajua how government policies ought to be implement and supervised

Amefanya kazi wizarani kama mkurugenzi wa afya responsible kutunga policies za afya

Amekuwa katibu mkuu TAMISEMI upande wa afya responsible for supervision on health outcome and quality of delivery

Na sasa ni waziri, ni M.D. na ana PHD ya health management usifanye mchezo; you can’t get a qualified person to run that ministry than her.

Dr Gwajima anaijua hiyo wizara, na wewe mleta mada ni kiazi isiojua lolote, anachofanya ni trouble shooting how things ought to work tatizo mmezoea upuuzi kwenye hiyo wizara.

Kwanini usikae kimya tuu unapoona mtu anafanya mambo ya kitaaluma kwenye sector ambayo uelewi usimamizi wake.

Dr Gwajima ni field Marshall kweli, uwezi wewe kujifananisha nae wewe ata chembe ni mpuuzi tu.
 
Ukimfuatilia vizuri wala hata hakuna anayemnyoosha hadi sasa. Yeye ni full kubwabwaja tu. Yaani hata haeleweki kama kweli yupo serious au labda anafanyia mzaha hiyo kazi. Huyu waziri utendaji wake haueleweki kabisa.
Duh! Hadi wewe umeona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…