Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Sekta ya afya imeoza,acha awanyooshe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na yeye atakuwa kaokotwa jaralaniAliyemwambia kuwa watu wanaitaka nafas yake ni nani?
Ye afanye kazi kistaarabu, aache kudhalilisha watumishi wake...
Ila nadhan "ndoa" yake ina walakini...ama kuna shida kichwan hayuko sawa
Hivyo ndivyo mkuu wake anavyotaka.Tahadhima kwenu wajumbe wa bodi huru!
KWA muda sasa nimekuwa nikimfuatilia kwa karibu Waziri huyu toka alipoteuliwa na Rais Magufuli kuwa Waziri wa Afya. Namzungumzia Dk. Dorothy Gwajima.
Kila ofisi zilizochini yake anapoingia huwadhalilisha sana madaktari wenzake. Dk. Gwajima anamtazama kila mtu kuwa ni mwizi na kujitapa kuwa hakuna anayejua kila kitu katika wizara hiyo kama yeye.
"Hivi mnajua mimi ni Field Marshal wa sekta ya afya?" anawafokea madaktari Bingwa zaidi yake na kuongeza, "kama ningekuwa Mwanasheria mngenidanganya sana" kuonesha kuwa mtangulizi wake Mwanasheria, Ummy Mwalimu alikuwa akidanganywa sana. Huku ni kumdharau Waziri mwenzie aliyeaminiwa na Rais Magufuli.
Lakini hata "body language" ya mama huyu inaonesha kuhemka mno kiasi Cha kufanana na kina mama "ndala ndefu" wa huko Tandale wanaochambana bombani huku ameshika kiuno.
Cha ajabu, kama alivyowahi kufanya Dk. Hamisi Kigwangala "mzee wa kukurupuka" naye kila anapotaka kuwadhalilisha wahudumu wa sekta hiyo ni lazima awe mbele ya kamera ili aonekane. Huyu mama ameenda mbali kiasi Cha kutorokwa hata na haiba na staha ya mwanamke wa Kitanzania mbele ya wanaume.
"Field Marshal" ni cheo Cha juu na Cha mwisho jeshini. Hivi, Dk. Gwajima anadhani ni Bingwa wa afya kuliko maprofesa wote wa tiba nchini? Kwani kuongoza ni lazima kudhalilisha wenzako hadharani?
Wakati yule "mkata viuno" aliyetembea na Ilani ya CCM akijiita "ninja" huyu kaja na skafu ya bendera akijiita "Field Marshal". Mwendo uleule wa kukurupuka na kujipendekeza.
My Take: Napendekeza madaktari wafuatilie faili lake la matibabu anakotibiwa kuona anasumbuliwa na ugonjwa gani? Yapo baadhi ya magonjwa ambayo humfanya mtu ku-react ukichaa kama mama huyu.
Lakini pia wadadisi wachunguze mahusiano yake ya ndoa. Je, ana familia au ni mtalikiwa? Maana mahusiano ya ndoa na familia yakiwa salama pia huleta utulivu katika uongozi wenye staha, hekima, busara na maarifa. Huwezi kukufanya kuwa wizara hiyo imeoza kiasi kwamba waliopita kabla yake hawakufanya chochote. By the way, si tunaambiwa utawala wa Magufuli umeondoa ufisadi na uzembe kazini?
Nawasilisha.
Ouh hivi kumbe kuchapa kazi ndiyo kwa style zile🤔🤔Fanya kazi wewe acha kumfitini Waziri anachapakazi!
Sio akili tu apimwe na mkojo piaTahadhima kwenu wajumbe wa bodi huru!

Mbona hata Jaffo hajarelax kwenye wizara yake lakini hajaanzishiwa mada?Akiwa kimya yataongezeka maradufu...
Sisi Watanzania/Waafrika pasipo kusukumwa na kukimbizwa kama ng'ombe, huwa tunarelax na kufanya mambo kwa taratibu zetu...
Sekta ya afya ni sehemu nyeti sana kwa kiongozi wake kurelax kama watendaji wengine wa chini wanavyobung'aa tu...
Amemzidi matumizi ya nguvu, LUGOLA, alijua kukata miuno, siyo kusuta weeh!Mi mwenyewe namuona kama kuna kitu hakipo sawa kichwani... anatumia nguvu nyingi sana kama LUGOLA
Mkuu kaa utulie, matatizo makubwa kwenye sekta ya afya nchi hii ni idadi ndogo ya watumishi, dawa hazitoshi, miundombinu mibovu, vifaa tiba ni tatizo, bima ya afya yenyewe majanga matupu, seminars zote zimefutwa siku hizi. Kwahiyo yote anayoyazungumza mzizi mkuu upo kwenye matatizo hayo hapo juu, yeye hajikiti kwenye kutatua hayo anajikita kwenye matokeo ya hayo matatizo, ukimchunguza sana anatafuta KiKi kutoka kwa mkulu...watanzania mmejaaliwa kwa kupigana majungu na fitina,
mkimuona kiongozi yuko makini na anabana ubadhirifu basi njia pekee ya kumchafua ni kuanzisha majungu na fitina.
nashauri viongozi wa juu kamwe wasisikilize na kufuata majungu na fitina maaana tabia hii imeshamiri sana.....isiachwe ipigwe vita. utafiti unaonyesha viongozi weledi huwa wana undiwa zegwe/jungu na kikundi cha watu wachache, Majungu na fitina ni mbinu pekee ya kuwaondoa viongozi wazuri na weledi, kamwe mamlaka za uteuzi msikubali kuendeshwa au kusikiliza majungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutake radhi na utupongeze km utaweza kaka, hivi unajua hospital inayotakiwa kuwa na maDr 10 kiuhalisia wanakuwa watatu tu, unajua mzigo tunaoupiga ni mwingi mno, bahat mbaya mgonjwa hajui hilo, yeye anataka huduma tu, lakin mkumbuke sisi pia ni binadamu kuna uchovu mkuu. Anyway tutajitahidi japo hakuna anayetupongeza, kila mtu anatuponda tu, ila sio shida tutapiga kazi maana kwetu hii ni km imani.Ninyi mnaomkoromea huyu mama, hivi mnafahamu madudu yaliyopo sekta ya afya?
Maujinga wanayofanya watu wengi ndio yanasababisha mtu mzima kama Dr Gwajima aonekane kama mwehu...
Watendaji wa sekta ya afya wana maujinga sana
Tahadhima kwenu wajumbe wa bodi huru!
KWA muda sasa nimekuwa nikimfuatilia kwa karibu Waziri huyu toka alipoteuliwa na Rais Magufuli kuwa Waziri wa Afya. Namzungumzia Dk. Dorothy Gwajima.
Kila ofisi zilizochini yake anapoingia huwadhalilisha sana madaktari wenzake. Dk. Gwajima anamtazama kila mtu kuwa ni mwizi na kujitapa kuwa hakuna anayejua kila kitu katika wizara hiyo kama yeye.
"Hivi mnajua mimi ni Field Marshal wa sekta ya afya?" anawafokea madaktari Bingwa zaidi yake na kuongeza, "kama ningekuwa Mwanasheria mngenidanganya sana" kuonesha kuwa mtangulizi wake Mwanasheria, Ummy Mwalimu alikuwa akidanganywa sana. Huku ni kumdharau Waziri mwenzie aliyeaminiwa na Rais Magufuli.
Lakini hata "body language" ya mama huyu inaonesha kuhemka mno kiasi Cha kufanana na kina mama "ndala ndefu" wa huko Tandale wanaochambana bombani huku ameshika kiuno.
Cha ajabu, kama alivyowahi kufanya Dk. Hamisi Kigwangala "mzee wa kukurupuka" naye kila anapotaka kuwadhalilisha wahudumu wa sekta hiyo ni lazima awe mbele ya kamera ili aonekane. Huyu mama ameenda mbali kiasi Cha kutorokwa hata na haiba na staha ya mwanamke wa Kitanzania mbele ya wanaume.
"Field Marshal" ni cheo Cha juu na Cha mwisho jeshini. Hivi, Dk. Gwajima anadhani ni Bingwa wa afya kuliko maprofesa wote wa tiba nchini? Kwani kuongoza ni lazima kudhalilisha wenzako hadharani?
Wakati yule "mkata viuno" aliyetembea na Ilani ya CCM akijiita "ninja" huyu kaja na skafu ya bendera akijiita "Field Marshal". Mwendo uleule wa kukurupuka na kujipendekeza.
My Take: Napendekeza madaktari wafuatilie faili lake la matibabu anakotibiwa kuona anasumbuliwa na ugonjwa gani? Yapo baadhi ya magonjwa ambayo humfanya mtu ku-react ukichaa kama mama huyu.
Lakini pia wadadisi wachunguze mahusiano yake ya ndoa. Je, ana familia au ni mtalikiwa? Maana mahusiano ya ndoa na familia yakiwa salama pia huleta utulivu katika uongozi wenye staha, hekima, busara na maarifa. Huwezi kukufanya kuwa wizara hiyo imeoza kiasi kwamba waliopita kabla yake hawakufanya chochote. By the way, si tunaambiwa utawala wa Magufuli umeondoa ufisadi na uzembe kazini?
Nawasilisha.
Waziri utafikri mkulima wa kijijini kwetu!.View attachment 1679387 utafikri mkulima wa kijijini kwetu!

Daaah jamaa aliyepo nyuma yake anamuangalia kwa hofu sana😅😅
Anapanda mbigili nyuma ya njia aliyopita hajui anaweza kupita humo wakati was kurudi. Au anajua ndio hataitumia? Maisha haya!Tahadhima kwenu wajumbe wa bodi huru!
KWA muda sasa nimekuwa nikimfuatilia kwa karibu Waziri huyu toka alipoteuliwa na Rais Magufuli kuwa Waziri wa Afya. Namzungumzia Dk. Dorothy Gwajima.
Kila ofisi zilizochini yake anapoingia huwadhalilisha sana madaktari wenzake. Dk. Gwajima anamtazama kila mtu kuwa ni mwizi na kujitapa kuwa hakuna anayejua kila kitu katika wizara hiyo kama yeye.
"Hivi mnajua mimi ni Field Marshal wa sekta ya afya?" anawafokea madaktari Bingwa zaidi yake na kuongeza, "kama ningekuwa Mwanasheria mngenidanganya sana" kuonesha kuwa mtangulizi wake Mwanasheria, Ummy Mwalimu alikuwa akidanganywa sana. Huku ni kumdharau Waziri mwenzie aliyeaminiwa na Rais Magufuli.
Lakini hata "body language" ya mama huyu inaonesha kuhemka mno kiasi Cha kufanana na kina mama "ndala ndefu" wa huko Tandale wanaochambana bombani huku ameshika kiuno.
Cha ajabu, kama alivyowahi kufanya Dk. Hamisi Kigwangala "mzee wa kukurupuka" naye kila anapotaka kuwadhalilisha wahudumu wa sekta hiyo ni lazima awe mbele ya kamera ili aonekane. Huyu mama ameenda mbali kiasi Cha kutorokwa hata na haiba na staha ya mwanamke wa Kitanzania mbele ya wanaume.
"Field Marshal" ni cheo Cha juu na Cha mwisho jeshini. Hivi, Dk. Gwajima anadhani ni Bingwa wa afya kuliko maprofesa wote wa tiba nchini? Kwani kuongoza ni lazima kudhalilisha wenzako hadharani?
Wakati yule "mkata viuno" aliyetembea na Ilani ya CCM akijiita "ninja" huyu kaja na skafu ya bendera akijiita "Field Marshal". Mwendo uleule wa kukurupuka na kujipendekeza.
My Take: Napendekeza madaktari wafuatilie faili lake la matibabu anakotibiwa kuona anasumbuliwa na ugonjwa gani? Yapo baadhi ya magonjwa ambayo humfanya mtu ku-react ukichaa kama mama huyu.
Lakini pia wadadisi wachunguze mahusiano yake ya ndoa. Je, ana familia au ni mtalikiwa? Maana mahusiano ya ndoa na familia yakiwa salama pia huleta utulivu katika uongozi wenye staha, hekima, busara na maarifa. Huwezi kukufanya kuwa wizara hiyo imeoza kiasi kwamba waliopita kabla yake hawakufanya chochote. By the way, si tunaambiwa utawala wa Magufuli umeondoa ufisadi na uzembe kazini?
Nawasilisha.
Duh! Hadi wewe umeonaUkimfuatilia vizuri wala hata hakuna anayemnyoosha hadi sasa. Yeye ni full kubwabwaja tu. Yaani hata haeleweki kama kweli yupo serious au labda anafanyia mzaha hiyo kazi. Huyu waziri utendaji wake haueleweki kabisa.