mbona unafikiri kama funza mh!!!!!Kwani si ninyi mnaodai eti uongozi wa JPM wezi hawapo ? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayo madhaifu yametokea wapi sasa?
Ukitaka kujua watanzania wanatakiwa unyapala wa mjerumani fuatilia naibu Waziri tamisemi utajua kuwa watanzania kuwaongoza unahitaji akili ichomoke kama Mama mshika viuno. Naamini mleta mada utakuwa umeguswa. Kama Mama anakupa data jinsi mifumo ya kukusanya mapato inavyo expose wahudumu wa afya walivyo majizi shida yake ni nini Nan viuno vyake vinaingiaje hapaAcha awanyooshe.
Kawaida yenu majizi kwenye utumishi hamuwezi kuwapenda watumishi au mawaziri wa type ya Gwajima.Tahadhima kwenu wajumbe wa bodi huru!
KWA muda sasa nimekuwa nikimfuatilia kwa karibu Waziri huyu toka alipoteuliwa na Rais Magufuli kuwa Waziri wa Afya. Namzungumzia Dk. Dorothy Gwajima.
Kila ofisi zilizochini yake anapoingia huwadhalilisha sana madaktari wenzake. Dk. Gwajima anamtazama kila mtu kuwa ni mwizi na kujitapa kuwa hakuna anayejua kila kitu katika wizara hiyo kama yeye.
"Hivi mnajua mimi ni Field Marshal wa sekta ya afya?" anawafokea madaktari Bingwa zaidi yake na kuongeza, "kama ningekuwa Mwanasheria mngenidanganya sana" kuonesha kuwa mtangulizi wake Mwanasheria, Ummy Mwalimu alikuwa akidanganywa sana. Huku ni kumdharau Waziri mwenzie aliyeaminiwa na Rais Magufuli.
Lakini hata "body language" ya mama huyu inaonesha kuhemka mno kiasi Cha kufanana na kina mama "ndala ndefu" wa huko Tandale wanaochambana bombani huku ameshika kiuno.
Cha ajabu, kama alivyowahi kufanya Dk. Hamisi Kigwangala "mzee wa kukurupuka" naye kila anapotaka kuwadhalilisha wahudumu wa sekta hiyo ni lazima awe mbele ya kamera ili aonekane. Huyu mama ameenda mbali kiasi Cha kutorokwa hata na haiba na staha ya mwanamke wa Kitanzania mbele ya wanaume.
"Field Marshal" ni cheo Cha juu na Cha mwisho jeshini. Hivi, Dk. Gwajima anadhani ni Bingwa wa afya kuliko maprofesa wote wa tiba nchini? Kwani kuongoza ni lazima kudhalilisha wenzako hadharani?
Wakati yule "mkata viuno" aliyetembea na Ilani ya CCM akijiita "ninja" huyu kaja na skafu ya bendera akijiita "Field Marshal". Mwendo uleule wa kukurupuka na kujipendekeza.
My Take: Napendekeza madaktari wafuatilie faili lake la matibabu anakotibiwa kuona anasumbuliwa na ugonjwa gani? Yapo baadhi ya magonjwa ambayo humfanya mtu ku-react ukichaa kama mama huyu.
Lakini pia wadadisi wachunguze mahusiano yake ya ndoa. Je, ana familia au ni mtalikiwa? Maana mahusiano ya ndoa na familia yakiwa salama pia huleta utulivu katika uongozi wenye staha, hekima, busara na maarifa. Huwezi kukufanya kuwa wizara hiyo imeoza kiasi kwamba waliopita kabla yake hawakufanya chochote. By the way, si tunaambiwa utawala wa Magufuli umeondoa ufisadi na uzembe kazini?
Nawasilisha.
Kama mpaka leo hujui anayeiba dawa au zinakwenda wapi,huwezi kuwa Mtanzania.Jibuni hoja acha nalalamiko yaliyojaa kashfa.
Mimi namfuatilia na yupo sahihi. Dawa zinaibiwa sana.
CHAPA KAZI BIBIE. MPAKA TUJUE DAWA ZINAENDA WAPI...
Acha wivu.Ukimfuatilia vizuri wala hata hakuna anayemnyoosha hadi sasa. Yeye ni full kubwabwaja tu. Yaani hata haeleweki kama kweli yupo serious au labda anafanyia mzaha hiyo kazi. Huyu waziri utendaji wake haueleweki kabisa.
Tatizo watu wameshaizoea tabia ya kuibiwa, harafu mwisho wa siku wanaipwayukia Serikali eti hakuna dawa mahospitalini wakati kuna wabobezi wa kuiba dawa hawawasemi wanakuja na lawama za kwa Waziri ambaye kila uchwao amekuwa akianika uozo na mwenendo mbaya ktk sekta ya afya. Jamani muacheni Waziri awashughulikie, tunaamini hata taarifa ya Pccb ya wizi wa bilioni 1.2 muibuaji alikuwa ni yeye!! Watu wamezoea kulaumu sana! Wacheni wezi washughulikiwe!Jibuni hoja acha nalalamiko yaliyojaa kashfa.
Mimi namfuatilia na yupo sahihi. Dawa zinaibiwa sana.
CHAPA KAZI BIBIE. MPAKA TUJUE DAWA ZINAENDA WAPI...
Hajawekwa bure huko kwenye afya ni uozo mtupu. Mafarmasia na boharia kazi kubwa kuuza dawa za serikali haziwafikii wagonjwa. Kwani hamsikii kila mahali wamama wazee vijana wakidai kazi ya pharmacia imekua kuelekeza wapi wagonjwa wakanunue dawa wakati hospitali zinapatiwa dawa? Kama duka lako la dawa unauziwa dawa za serikali ndio utamuona huyo mama ni wazimu. Huko kwa kina mama bado wanaambiwa waje na vifaa kujifungua au wanauziwa na manesi. Mtu unayeona hiyo hali mbaya ni sawa ndio utamchukia huyo mama.Tahadhima kwenu wajumbe wa bodi huru!
KWA muda sasa nimekuwa nikimfuatilia kwa karibu Waziri huyu toka alipoteuliwa na Rais Magufuli kuwa Waziri wa Afya. Namzungumzia Dk. Dorothy Gwajima.
Kila ofisi zilizochini yake anapoingia huwadhalilisha sana madaktari wenzake. Dk. Gwajima anamtazama kila mtu kuwa ni mwizi na kujitapa kuwa hakuna anayejua kila kitu katika wizara hiyo kama yeye.
"Hivi mnajua mimi ni Field Marshal wa sekta ya afya?" anawafokea madaktari Bingwa zaidi yake na kuongeza, "kama ningekuwa Mwanasheria mngenidanganya sana" kuonesha kuwa mtangulizi wake Mwanasheria, Ummy Mwalimu alikuwa akidanganywa sana. Huku ni kumdharau Waziri mwenzie aliyeaminiwa na Rais Magufuli.
Lakini hata "body language" ya mama huyu inaonesha kuhemka mno kiasi Cha kufanana na kina mama "ndala ndefu" wa huko Tandale wanaochambana bombani huku ameshika kiuno.
Cha ajabu, kama alivyowahi kufanya Dk. Hamisi Kigwangala "mzee wa kukurupuka" naye kila anapotaka kuwadhalilisha wahudumu wa sekta hiyo ni lazima awe mbele ya kamera ili aonekane. Huyu mama ameenda mbali kiasi Cha kutorokwa hata na haiba na staha ya mwanamke wa Kitanzania mbele ya wanaume.
"Field Marshal" ni cheo Cha juu na Cha mwisho jeshini. Hivi, Dk. Gwajima anadhani ni Bingwa wa afya kuliko maprofesa wote wa tiba nchini? Kwani kuongoza ni lazima kudhalilisha wenzako hadharani?
Wakati yule "mkata viuno" aliyetembea na Ilani ya CCM akijiita "ninja" huyu kaja na skafu ya bendera akijiita "Field Marshal". Mwendo uleule wa kukurupuka na kujipendekeza.
My Take: Napendekeza madaktari wafuatilie faili lake la matibabu anakotibiwa kuona anasumbuliwa na ugonjwa gani? Yapo baadhi ya magonjwa ambayo humfanya mtu ku-react ukichaa kama mama huyu.
Lakini pia wadadisi wachunguze mahusiano yake ya ndoa. Je, ana familia au ni mtalikiwa? Maana mahusiano ya ndoa na familia yakiwa salama pia huleta utulivu katika uongozi wenye staha, hekima, busara na maarifa. Huwezi kukufanya kuwa wizara hiyo imeoza kiasi kwamba waliopita kabla yake hawakufanya chochote. By the way, si tunaambiwa utawala wa Magufuli umeondoa ufisadi na uzembe kazini?
Nawasilisha.
Kuna priority Mkuu, una Paracetamol chache mtu anakuja na mild pain ukimwangalia unamuona kbs akipumzika maumivu yanaweza isha sasa kwanini usizitunze ili akija mwenye maumivu makali ndo umpeKwanini hospital iwaambie watu paracetamol zimeisha wakati yeye kutokana na skills zake za kukagua kakuta wanazo; halafu hata yeye mtaalamu walitaka kumuongopea si ndio ujinga huo wanataka watu waende kwenye pharmacy zao wakawalangue.
Ndio maana akawaambia awawezi kumuongopea yeye anajua kukagua na ni field Marshall kwenye hiyo wizara.
Halafu unakuta jitu linamuona waziri anatafuta sifa wakati kuna mijitu huko kwenye vituo vya afya aina maadili ya kazi.