Dkt. Dorothy Gwajima: Kama unataka nitumbuliwe ili uchukue nafasi yangu, fanya kazi zaidi yangu sio ufitini

Dkt. Dorothy Gwajima: Kama unataka nitumbuliwe ili uchukue nafasi yangu, fanya kazi zaidi yangu sio ufitini

Mimi ndiyo namshangaa zaidi ya mtoa mada. Tangu nizaliwe sijaona Mama mwenye tabia kama yule Waziri. Unapofika mahali kwanza yeye ni Mhe. Waziri lile jukumu la kuwauliza Watalaam ni majukumu ya watalaam wake. Mimi nadhani ana tatizo. Nahisi ana ugonjwa fulani tusioifahamu. Napenda kuuliza, hivi yule mama ana Digrii ngapi kumfanya atambe vile?.
 
kuna kichaa mmoja kamzibua kofi la uso mzazi baada ya kujifungulia kwenye coridor.

mimi kuna wakati huwa nafikiri labda watu wajaribu upande huu ndio wataamka.
huwa nasema hapa,wizara ambayo haihitaji media ni ya ulinzi tu,tena kwa sababu za kiusalama zaidi
lakini zilizobaki watu wapigwe pressure water tu,kuna madudu na uozo ya hovyo sana humu nchini.
 
Acha awanyooshe.
Ukitaka kujua watanzania wanatakiwa unyapala wa mjerumani fuatilia naibu Waziri tamisemi utajua kuwa watanzania kuwaongoza unahitaji akili ichomoke kama Mama mshika viuno. Naamini mleta mada utakuwa umeguswa. Kama Mama anakupa data jinsi mifumo ya kukusanya mapato inavyo expose wahudumu wa afya walivyo majizi shida yake ni nini Nan viuno vyake vinaingiaje hapa
 
Atakuwa mmoja kati ya wale wanne.

Hiyo ya mamandala ndefu wa tandale umempatia kweli mrs nyange.
 
Tahadhima kwenu wajumbe wa bodi huru!

KWA muda sasa nimekuwa nikimfuatilia kwa karibu Waziri huyu toka alipoteuliwa na Rais Magufuli kuwa Waziri wa Afya. Namzungumzia Dk. Dorothy Gwajima.

Kila ofisi zilizochini yake anapoingia huwadhalilisha sana madaktari wenzake. Dk. Gwajima anamtazama kila mtu kuwa ni mwizi na kujitapa kuwa hakuna anayejua kila kitu katika wizara hiyo kama yeye.

"Hivi mnajua mimi ni Field Marshal wa sekta ya afya?" anawafokea madaktari Bingwa zaidi yake na kuongeza, "kama ningekuwa Mwanasheria mngenidanganya sana" kuonesha kuwa mtangulizi wake Mwanasheria, Ummy Mwalimu alikuwa akidanganywa sana. Huku ni kumdharau Waziri mwenzie aliyeaminiwa na Rais Magufuli.

Lakini hata "body language" ya mama huyu inaonesha kuhemka mno kiasi Cha kufanana na kina mama "ndala ndefu" wa huko Tandale wanaochambana bombani huku ameshika kiuno.

Cha ajabu, kama alivyowahi kufanya Dk. Hamisi Kigwangala "mzee wa kukurupuka" naye kila anapotaka kuwadhalilisha wahudumu wa sekta hiyo ni lazima awe mbele ya kamera ili aonekane. Huyu mama ameenda mbali kiasi Cha kutorokwa hata na haiba na staha ya mwanamke wa Kitanzania mbele ya wanaume.

"Field Marshal" ni cheo Cha juu na Cha mwisho jeshini. Hivi, Dk. Gwajima anadhani ni Bingwa wa afya kuliko maprofesa wote wa tiba nchini? Kwani kuongoza ni lazima kudhalilisha wenzako hadharani?

Wakati yule "mkata viuno" aliyetembea na Ilani ya CCM akijiita "ninja" huyu kaja na skafu ya bendera akijiita "Field Marshal". Mwendo uleule wa kukurupuka na kujipendekeza.

My Take: Napendekeza madaktari wafuatilie faili lake la matibabu anakotibiwa kuona anasumbuliwa na ugonjwa gani? Yapo baadhi ya magonjwa ambayo humfanya mtu ku-react ukichaa kama mama huyu.

Lakini pia wadadisi wachunguze mahusiano yake ya ndoa. Je, ana familia au ni mtalikiwa? Maana mahusiano ya ndoa na familia yakiwa salama pia huleta utulivu katika uongozi wenye staha, hekima, busara na maarifa. Huwezi kukufanya kuwa wizara hiyo imeoza kiasi kwamba waliopita kabla yake hawakufanya chochote. By the way, si tunaambiwa utawala wa Magufuli umeondoa ufisadi na uzembe kazini?

Nawasilisha.
Kawaida yenu majizi kwenye utumishi hamuwezi kuwapenda watumishi au mawaziri wa type ya Gwajima.
Huyu mama yuko wazi na anasimamia ukweli.
Sio uongo bali ukweli kwamba amepitia ngazi zote za utumishi katika wizara hiyo,jambo ambalo linampa urahisi zaidi kugundua makosa na mbinu nyingi za wizi wa madawa katika hospitali mbalimbali anakopitia kikazi kama waziri.

Hao madaktari unaowasemea kunyanyaswa ni wao wanaopaswa kujitathmini kama wanafaa kuendelea na nafasi zao baada ya kugundulika wakishiriki WIZI wa madawa katika hospitali zetu na kupelekea vifo kwa wagonjwa wasio na hatia sababu ya madaktari na mafamasia wezi.

Mifano iko mingi ila ya hivi karibuni ni pale MOI muhimbli na hapo UKEREWE penyewe alipokuwa mh Dorothy Gwajima.
Daktari anashitakiwa mahamani kwa wizi wa madawa na anahukumiwa kulipa.
Daktari analipa cash milioni 100tshs.
Hivi unataka Gwajima anyamaze huku genge fulani likijitajirisha kwa damu na uhai wa watanzania walipa kodi wasio na hatia?

Shwine nyie mnalilia kudhalilishwa,ni heshima gani mliyonayo zaidi ya wizi na uuwaji?

Mleta mada ni mwizi mwingine unaejificha nyuma ya keyboard.
Na kwa taarifa yenu huyu mama huenda mkamuona IKULU siku moja. [emoji1241][emoji3531]
 
Wakuu habari za mchana.

Naomba walio karibu na huyu mama waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na watoto, wampe semina ya ku-behave kama top government official. Naona hilo linamshinda. Mama atulize ubongo aje na solutions. Aache majungu na malalamiko kila kukicha.

Hizi clip tunazoziona hazimpi heshima kabisa. Anajiita Field Marshall wa wizara lakini mimi namuona bado sana. Kama ana vinyongo na maumivu ya huko nyuma, asahau. Ajulishwe majukumu yake kama waziri. Aache kuleta viswahili kama vya vijiwe vya kina mama wakiwa peke yao.
 
Jibuni hoja acha nalalamiko yaliyojaa kashfa.
Mimi namfuatilia na yupo sahihi. Dawa zinaibiwa sana.

CHAPA KAZI BIBIE. MPAKA TUJUE DAWA ZINAENDA WAPI...
Kama mpaka leo hujui anayeiba dawa au zinakwenda wapi,huwezi kuwa Mtanzania.
Kule Ikwiriri wananchi Watanzania wanajua dawa zinaibiwa,wanajua wanaoziiba na wanajua zinapelekwa wapi,lakini cha ajabu wameripoti PCCP, Polisi na mpaka kwa DSO,lakini hamna hatua njema iliyochukuliwa.
 
Ukimfuatilia vizuri wala hata hakuna anayemnyoosha hadi sasa. Yeye ni full kubwabwaja tu. Yaani hata haeleweki kama kweli yupo serious au labda anafanyia mzaha hiyo kazi. Huyu waziri utendaji wake haueleweki kabisa.
Acha wivu.
 
Jibuni hoja acha nalalamiko yaliyojaa kashfa.
Mimi namfuatilia na yupo sahihi. Dawa zinaibiwa sana.

CHAPA KAZI BIBIE. MPAKA TUJUE DAWA ZINAENDA WAPI...
Tatizo watu wameshaizoea tabia ya kuibiwa, harafu mwisho wa siku wanaipwayukia Serikali eti hakuna dawa mahospitalini wakati kuna wabobezi wa kuiba dawa hawawasemi wanakuja na lawama za kwa Waziri ambaye kila uchwao amekuwa akianika uozo na mwenendo mbaya ktk sekta ya afya. Jamani muacheni Waziri awashughulikie, tunaamini hata taarifa ya Pccb ya wizi wa bilioni 1.2 muibuaji alikuwa ni yeye!! Watu wamezoea kulaumu sana! Wacheni wezi washughulikiwe!
 
Tahadhima kwenu wajumbe wa bodi huru!

KWA muda sasa nimekuwa nikimfuatilia kwa karibu Waziri huyu toka alipoteuliwa na Rais Magufuli kuwa Waziri wa Afya. Namzungumzia Dk. Dorothy Gwajima.

Kila ofisi zilizochini yake anapoingia huwadhalilisha sana madaktari wenzake. Dk. Gwajima anamtazama kila mtu kuwa ni mwizi na kujitapa kuwa hakuna anayejua kila kitu katika wizara hiyo kama yeye.

"Hivi mnajua mimi ni Field Marshal wa sekta ya afya?" anawafokea madaktari Bingwa zaidi yake na kuongeza, "kama ningekuwa Mwanasheria mngenidanganya sana" kuonesha kuwa mtangulizi wake Mwanasheria, Ummy Mwalimu alikuwa akidanganywa sana. Huku ni kumdharau Waziri mwenzie aliyeaminiwa na Rais Magufuli.

Lakini hata "body language" ya mama huyu inaonesha kuhemka mno kiasi Cha kufanana na kina mama "ndala ndefu" wa huko Tandale wanaochambana bombani huku ameshika kiuno.

Cha ajabu, kama alivyowahi kufanya Dk. Hamisi Kigwangala "mzee wa kukurupuka" naye kila anapotaka kuwadhalilisha wahudumu wa sekta hiyo ni lazima awe mbele ya kamera ili aonekane. Huyu mama ameenda mbali kiasi Cha kutorokwa hata na haiba na staha ya mwanamke wa Kitanzania mbele ya wanaume.

"Field Marshal" ni cheo Cha juu na Cha mwisho jeshini. Hivi, Dk. Gwajima anadhani ni Bingwa wa afya kuliko maprofesa wote wa tiba nchini? Kwani kuongoza ni lazima kudhalilisha wenzako hadharani?

Wakati yule "mkata viuno" aliyetembea na Ilani ya CCM akijiita "ninja" huyu kaja na skafu ya bendera akijiita "Field Marshal". Mwendo uleule wa kukurupuka na kujipendekeza.

My Take: Napendekeza madaktari wafuatilie faili lake la matibabu anakotibiwa kuona anasumbuliwa na ugonjwa gani? Yapo baadhi ya magonjwa ambayo humfanya mtu ku-react ukichaa kama mama huyu.

Lakini pia wadadisi wachunguze mahusiano yake ya ndoa. Je, ana familia au ni mtalikiwa? Maana mahusiano ya ndoa na familia yakiwa salama pia huleta utulivu katika uongozi wenye staha, hekima, busara na maarifa. Huwezi kukufanya kuwa wizara hiyo imeoza kiasi kwamba waliopita kabla yake hawakufanya chochote. By the way, si tunaambiwa utawala wa Magufuli umeondoa ufisadi na uzembe kazini?

Nawasilisha.
Hajawekwa bure huko kwenye afya ni uozo mtupu. Mafarmasia na boharia kazi kubwa kuuza dawa za serikali haziwafikii wagonjwa. Kwani hamsikii kila mahali wamama wazee vijana wakidai kazi ya pharmacia imekua kuelekeza wapi wagonjwa wakanunue dawa wakati hospitali zinapatiwa dawa? Kama duka lako la dawa unauziwa dawa za serikali ndio utamuona huyo mama ni wazimu. Huko kwa kina mama bado wanaambiwa waje na vifaa kujifungua au wanauziwa na manesi. Mtu unayeona hiyo hali mbaya ni sawa ndio utamchukia huyo mama.
Mapambano na fisadi na wazembe bado yanaendelea hadi wote tuona ufisadi na uzembe sio kitu cha kukubaliwa kama ndio kawaida.
Viva mama gwajima tunakutakia ushindi kusafisha wizara ya afya.
 
Acha maza aendelee kutuburudisha kwa vichambo.

Nampenda huyu mama kwa staili yake ya kuongea.

Madaktari mtanyooka tu na mimi nasema awanyooshe tu cumamae zenu😂😂😂 maana hakuna namna nyingine.

Lugola alikua ananinyooshea polisi, huyu mama amekuja kuwanyoosha madaktari. Safi sana.
 
Kwanini hospital iwaambie watu paracetamol zimeisha wakati yeye kutokana na skills zake za kukagua kakuta wanazo; halafu hata yeye mtaalamu walitaka kumuongopea si ndio ujinga huo wanataka watu waende kwenye pharmacy zao wakawalangue.

Ndio maana akawaambia awawezi kumuongopea yeye anajua kukagua na ni field Marshall kwenye hiyo wizara.

Halafu unakuta jitu linamuona waziri anatafuta sifa wakati kuna mijitu huko kwenye vituo vya afya aina maadili ya kazi.
Kuna priority Mkuu, una Paracetamol chache mtu anakuja na mild pain ukimwangalia unamuona kbs akipumzika maumivu yanaweza isha sasa kwanini usizitunze ili akija mwenye maumivu makali ndo umpe
 
Back
Top Bottom