Dkt. Dorothy Gwajima: Kama unataka nitumbuliwe ili uchukue nafasi yangu, fanya kazi zaidi yangu sio ufitini

Dkt. Dorothy Gwajima: Kama unataka nitumbuliwe ili uchukue nafasi yangu, fanya kazi zaidi yangu sio ufitini

Ukimfuatilia vizuri wala hata hakuna anayemnyoosha hadi sasa. Yeye ni full kubwabwaja tu. Yaani hata haeleweki kama kweli yupo serious au labda anafanyia mzaha hiyo kazi. Huyu waziri utendaji wake haueleweki kabisa.
Bi mkubwa we pia umeliona hill.
 
Wakuu habari za mchana.

Naomba walio karibu na huyu mama waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na watoto, wampe semina ya ku-behave kama top government official. Naona hilo linamshinda. Mama atulize ubongo aje na solutions. Aache majungu na malalamiko kila kukicha.

Hizi clip tunazoziona hazimpi heshima kabisa. Anajiita Field Marshall wa wizara lakini mimi namuona bado sana. Kama ana vinyongo na maumivu ya huko nyuma, asahau. Ajulishwe majukumu yake kama waziri. Aache kuleta viswahili kama vya vijiwe vya kina mama wakiwa peke yao

Huyu mama inaonekana alikuwa na visasi sana na watu wa wizara aliyoitumikia kwa miaka mingi. Huko inawezekana alikutana na madaktari wakorofi, waongo, wezi, wanyanyasaji, wakabila, waopenda Tasnia ya afya, wavivu na wale waliokaribu na utawala na inawezekana walitumia ubabe kumnyanyasa ikiwemo kimgonga bila ridhaa yake Sasa amepenya na kuwa juu yao. Mimi ninamsifu kwa huo muhemko alio nao lkn namshauri awaone wale Kama wenzake iwapo anataka kudumu kwenye hiyo nafasi ya uwaziri..yaani aache visasi field mashall ni kiongozi mkubwa wa jeshi kule jeshini ndiko kwenye ushenzi wa kila aina lkn baada ya mafunzo mnamaliza tofauti na kuwa kitu kimoja. Sasa kama anatamani ufield mashall Basi aache visasi jeshini hakuna visasi.
Sun Tzu kwenye kitabu chake pendwa kiitwacho the "Art of War" au Sanaa ya Vita kwa kiswahili, anasema sio kila vita lazima upigane au ukiwa jemedari wa jeshi sio kila kitu uongee. Vita zingine unaacha zipite tu au ukiwa msikilazi muda mwingi itakusaidia ktk kufanya maamuzi yaliyo sahihi kama kiongozi

Kwa hiyo Dr. Dorothy Gwajima pamoja na kazi nzuri unayofanya jiepusha kuongea sana ili usije ukageuka kituko mbele ya jamii. Sio lazima uongelee tu uizi kila mahali unapokwenda, na hii itakujengea heshima sio tuu kwa jamii pia na hata kwa watu unaofanya nao kazi. Otherwise wata-loose confidence.
 
Nchi hii ukifanya kazi kistaarabu hasa serikalini basi ujue mambo hayataenda. Upigaji, wizi na rushwa ni kama imeshindikana kuondoa
 
LUGOLA alikuja hivi hivi Polisi wakamzilia kazi, matokeo yake tuliyaona. Kaulize boda boda waliokufa kwa ajali kipindi cha LUGOLA linganisha na kipindi kama hicho wakati wa Mwigulu.
ukizila kazi unawajibishwa ...iwe ni mahakama,baraza la kazi au baraza la kitaaluma.
hakuna chaka la kijifichia
 
Maneno meengi hayatazuia watu kuiba dawa. Ni mabadiliko ya taratibu na kanuni ndio huleta mabadiliko mahali popote penye watu wengi. Atapiga kelelee mwishowe ataondoka bila mabadiliko yoyote.
She must come with solutions not noises.
Kwani hamuwezi kuacha huo wizi hadi hizo taratibu na kanuni zibadilike?
 
Ummy alikuwa haijui system ya afya inavyofanya kazi kwa hiyo ilikuwa rahisi kudanganywa na asijue kuwa amedanganywa, Gwajima anaijua system ya afya a - z kwa hiyo siyo rahisi kumdanganya. Wanapojaribu kumdanganya anawaambia wazi. Hizi kelele wanazopiga ni kutaka aondolewe ili waendelee na na wizi kama business as usual.
Kwa hiyo unaamini katika kipindi cha Field Marshal wahudumu wa afya watapata marupurupu mazuri?
 
Je hamuoni kama Field Marshal anahitaji semina elekezi?
 
Kwa hiyo unaamini katika kipindi cha Field Marshal wahudumu wa afya watapata marupurupu mazuri?
Kwa hiyo mnaiba dawa kwa kuwa hampati marupurupu mazuri?
Kumbuka nyie wafanyakazi wa serikali ndio mnalipwa vizuri zaidi kuliko sector nyingine zote!
 
Kwa hiyo mnaiba dawa kwa kuwa hampati marupurupu mazuri?
Kumbuka nyie wafanyakazi wa serikali ndio mnalipwa vizuri zaidi kuliko sector nyingine zote!
Afya ni kitu muhimu kuliko huduma yingine yoyote.

Wezi wapo kila mahali.Ata huko polisi kuna askari wengine ni wezi.

Aidha ni watu wenye alama za juu tu ndio wanaingia katika huduma za afya na isitoshe masomo yao ni marefu na magumu.

Stay Tuned
 
Ndugu wamejaribu kumuongopea kaonyesha dawa zipo those are the established facts.

Acha kutengeneza scenario to justify unethical practices, wewe kama mtaalamu uwe M.D, nurse pharmacist or any other clinician ukufundishwa siku zote unatakiwa kutoa evidence based arguments or when making health decision for patients apply available evidence.

Wote tumeona uzembe alioibua hakuna anaejua balance sheet ya hiyo hospitali so achana na hizo hoja za kitoto kutengeneza mazingira ambayo hayana evidence.

Vinginevyo leta bank statement ya ukerewe hospital ndio useme hawana hela ya kununua dawa.
Wakati mwingine unakua innocent na huwezi kujitetea maana kuna chain ya events ambayo huwezi kuielezea ukaeleweka. kuna kipindi nikiwa kama mtumishi katika hospital X niliwahi kujievaluate na nikagundua kwamba kuna mambo mengi niliyafanya kwa nia nzuri lakini sio documents zote zilikaa sawa na isingewezekana kabisa zikae sawa na kama kuna mtu mkubwa angefuatilia vizuri na kuniuliza basi nisingekua na points nzuri za kueleweka bila kuonekana mwizi.
 
Back
Top Bottom