Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bi mkubwa we pia umeliona hill.Ukimfuatilia vizuri wala hata hakuna anayemnyoosha hadi sasa. Yeye ni full kubwabwaja tu. Yaani hata haeleweki kama kweli yupo serious au labda anafanyia mzaha hiyo kazi. Huyu waziri utendaji wake haueleweki kabisa.
Ndio mi ndo Gwajima.ana mume!??
tuanzie hapo.
ukiona hivi ujue sindano imeingiaSomo linaingia hasa Dada Dolly kaza buti..... Haraka haraka kuna thread nne za Dada dolly naziona hapa 😂😂😂 Love u dada Dolly 😍🥰🥰
A Total Disgrace
Wakuu habari za mchana.
Naomba walio karibu na huyu mama waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na watoto, wampe semina ya ku-behave kama top government official. Naona hilo linamshinda. Mama atulize ubongo aje na solutions. Aache majungu na malalamiko kila kukicha.
Hizi clip tunazoziona hazimpi heshima kabisa. Anajiita Field Marshall wa wizara lakini mimi namuona bado sana. Kama ana vinyongo na maumivu ya huko nyuma, asahau. Ajulishwe majukumu yake kama waziri. Aache kuleta viswahili kama vya vijiwe vya kina mama wakiwa peke yao
Sun Tzu kwenye kitabu chake pendwa kiitwacho the "Art of War" au Sanaa ya Vita kwa kiswahili, anasema sio kila vita lazima upigane au ukiwa jemedari wa jeshi sio kila kitu uongee. Vita zingine unaacha zipite tu au ukiwa msikilazi muda mwingi itakusaidia ktk kufanya maamuzi yaliyo sahihi kama kiongoziHuyu mama inaonekana alikuwa na visasi sana na watu wa wizara aliyoitumikia kwa miaka mingi. Huko inawezekana alikutana na madaktari wakorofi, waongo, wezi, wanyanyasaji, wakabila, waopenda Tasnia ya afya, wavivu na wale waliokaribu na utawala na inawezekana walitumia ubabe kumnyanyasa ikiwemo kimgonga bila ridhaa yake Sasa amepenya na kuwa juu yao. Mimi ninamsifu kwa huo muhemko alio nao lkn namshauri awaone wale Kama wenzake iwapo anataka kudumu kwenye hiyo nafasi ya uwaziri..yaani aache visasi field mashall ni kiongozi mkubwa wa jeshi kule jeshini ndiko kwenye ushenzi wa kila aina lkn baada ya mafunzo mnamaliza tofauti na kuwa kitu kimoja. Sasa kama anatamani ufield mashall Basi aache visasi jeshini hakuna visasi.
Akikuta dr hujamlizisha kwa utendaji wako basi anaanza kukuchambaaa mpaka akili ikikuaeUtafikiri mama wa kizaramo
ukizila kazi unawajibishwa ...iwe ni mahakama,baraza la kazi au baraza la kitaaluma.LUGOLA alikuja hivi hivi Polisi wakamzilia kazi, matokeo yake tuliyaona. Kaulize boda boda waliokufa kwa ajali kipindi cha LUGOLA linganisha na kipindi kama hicho wakati wa Mwigulu.
Kwani hamuwezi kuacha huo wizi hadi hizo taratibu na kanuni zibadilike?Maneno meengi hayatazuia watu kuiba dawa. Ni mabadiliko ya taratibu na kanuni ndio huleta mabadiliko mahali popote penye watu wengi. Atapiga kelelee mwishowe ataondoka bila mabadiliko yoyote.
She must come with solutions not noises.
Kabisaanakuwa kama Joti Asha ngedere
Kwa hiyo unaamini katika kipindi cha Field Marshal wahudumu wa afya watapata marupurupu mazuri?Ummy alikuwa haijui system ya afya inavyofanya kazi kwa hiyo ilikuwa rahisi kudanganywa na asijue kuwa amedanganywa, Gwajima anaijua system ya afya a - z kwa hiyo siyo rahisi kumdanganya. Wanapojaribu kumdanganya anawaambia wazi. Hizi kelele wanazopiga ni kutaka aondolewe ili waendelee na na wizi kama business as usual.
Kwa hiyo mnaiba dawa kwa kuwa hampati marupurupu mazuri?Kwa hiyo unaamini katika kipindi cha Field Marshal wahudumu wa afya watapata marupurupu mazuri?
Afya ni kitu muhimu kuliko huduma yingine yoyote.Kwa hiyo mnaiba dawa kwa kuwa hampati marupurupu mazuri?
Kumbuka nyie wafanyakazi wa serikali ndio mnalipwa vizuri zaidi kuliko sector nyingine zote!
Wakati mwingine unakua innocent na huwezi kujitetea maana kuna chain ya events ambayo huwezi kuielezea ukaeleweka. kuna kipindi nikiwa kama mtumishi katika hospital X niliwahi kujievaluate na nikagundua kwamba kuna mambo mengi niliyafanya kwa nia nzuri lakini sio documents zote zilikaa sawa na isingewezekana kabisa zikae sawa na kama kuna mtu mkubwa angefuatilia vizuri na kuniuliza basi nisingekua na points nzuri za kueleweka bila kuonekana mwizi.Ndugu wamejaribu kumuongopea kaonyesha dawa zipo those are the established facts.
Acha kutengeneza scenario to justify unethical practices, wewe kama mtaalamu uwe M.D, nurse pharmacist or any other clinician ukufundishwa siku zote unatakiwa kutoa evidence based arguments or when making health decision for patients apply available evidence.
Wote tumeona uzembe alioibua hakuna anaejua balance sheet ya hiyo hospitali so achana na hizo hoja za kitoto kutengeneza mazingira ambayo hayana evidence.
Vinginevyo leta bank statement ya ukerewe hospital ndio useme hawana hela ya kununua dawa.