The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Jitenge na waovuNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akisalimiana na Askofu wa Mafinga, Mhashamu Vincent Mwagala wakati alipowasili katika Ibada ya kumsimika na kumuweka wakfu Askofu wa Jimbo la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali iliyofanyika katika Viwanja vya Kichangani, Mjini Iringa, Aprili 27, 2025.
Dkt. Biteko anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Sherehe za kuwekwa wakfu Askofu Mteule, Romanus Elamu Mihali kuwa Askofu wa Jimbo la Kitume la Iringa.View attachment 3317494View attachment 3317495
Ameanza kususa...tutamuona akiombewa na ndugu zetu tarehe 10 meiNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akisalimiana na Askofu wa Mafinga, Mhashamu Vincent Mwagala wakati alipowasili katika Ibada ya kumsimika na kumuweka wakfu Askofu wa Jimbo la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali iliyofanyika katika Viwanja vya Kichangani, Mjini Iringa, Aprili 27, 2025.
Dkt. Biteko anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Sherehe za kuwekwa wakfu Askofu Mteule, Romanus Elamu Mihali kuwa Askofu wa Jimbo la Kitume la Iringa.View attachment 3317494View attachment 3317495
Huenda wao walimwalika rais but kama rais ana majukumu mengine je?Kwa nini inasemewa anamuwakilisha?
Kwa nini Biteko asiwe ndiye mgeni rasmi kabisa ??
kabisa mkuu, ila mi hua najiuliza lengo au umuhimu wa kumualika raisi ni upi?Huenda wao walimwalika rais but kama rais ana majukumu mengine je?
Kama ana majukumu mengine si wanamwalika mtu mwingine anayepatikanaHuenda wao walimwalika rais but kama rais ana majukumu mengine je?
Guys, nadhani ubishi mwingine haunaga maana yeyote, hili jambo la kutuma mwakilishi limeanza leo? Kwenye mikutano hata ya nje huko si inafanyikaga hivo hvo? Cha ajabu ni kipi hapa? Sio jambo jipya na wala Samia sio wa kwanza kufanya hivo. JPM for instance, lini kaenda nje ya nchi kwenye mkutano na marais wenzie? Hakuna, sio cha AU, UN or SADC sometimes even EAC mwamba alikua anatuma mtu, labda JK kwasababu alikua ni funny wa safari but hata yeye kuna wakati alikua ana delegateKama ana majukumu mengine si wanamwalika mtu mwingine anayepatikana
Huwa kuna vikao maalumu vya AU, UN, EAC na SADC ambavyo wakuu wa nchi wanatakiwa waahudhurie, vikao vya aina hiyo mkuu wa nchi anaposhindwa ndio inaleta mantiki kusema ametuma mwakilishi, hakuna vikao vya kanisa au msikiti ambavyo mkuu wa nchi au kiongozi yoyote wa serikali ana wajibu wa kuhudhuria kwa hiyo hakuna mantiki kusema ametumwa mwakilishi.Guys, nadhani ubishi mwingine haunaga maana yeyote, hili jambo la kutuma mwakilishi limeanza leo? Kwenye mikutano hata ya nje huko si inafanyikaga hivo hvo? Cha ajabu ni kipi hapa? Sio jambo jipya na wala Samia sio wa kwanza kufanya hivo. JPM for instance, lini kaenda nje ya nchi kwenye mkutano na marais wenzie? Hakuna, sio cha AU, UN or SADC sometimes even EAC mwamba alikua anatuma mtu, labda JK kwasababu alikua ni funny wa safari but hata yeye kuna wakati alikua ana delegate
kabisa mkuu, ila mi hua najiuliza lengo au umuhimu wa kumualika raisi ni upi?
Hamna, Raisi ana gubu na hawa viongozi wa dini anasema wanamtetea LissuHuenda wao walimwalika rais but kama rais ana majukumu mengine je?
TEC haina nguvu hiyo kama tunavyoaminishwa jukwaani mkuu --- ccm bado tupo nao kipundapunda hivi hivi --- mimi siwezi amini kama serikali ikawaheshimu tec mkuu --- sisi wananchi hatuheshimiki waje kuheshimiwa techivi ule walaka wa TEC umepata majibu au kanusho lolote toka serikalini au hauna madhara
Alisusa kitambo sana maadhimisho ya wakatoliki,anaenda kwa akina malasusaAmeanza kususa...tutamuona akiombewa na ndugu zetu tarehe 10 mei
Inawezekana though sijawahi kumsikia akisema hivoHamna, Raisi ana gubu na hawa viongozi wa dini anasema wanamtetea Lissu
Navalonge swela 😁🇹🇿Jitenge na waovu