Dkt. Elisha Osati anaenda kuongelea hali ya Covid 19 Tanzania kama nani?

Dkt. Elisha Osati anaenda kuongelea hali ya Covid 19 Tanzania kama nani?

Yupo sahihi sana.Hizi sheria kandamizi zinapaswa kugomewa,kupingwa na kuvunjwa na kila mtu.Mpaka mawe yanapaswa kuzipinga sheria hizi!
Hizo ni reflection ya sheria za kimataifa.
 
Hizo ni reflection ya sheria za kimataifa.
Kwani sheria za kimataifa ni Mungu kiasi kwamba haziwezi kuwa fake/kandamizi?Unaelewa kuwa utumwa pamoja na ukoloni ulikuwa unasimamiwa na sheria za kimataifa?Una habari pia kuwa ukoloni mamboleo unasimamiwa na sheria za kimataifa?
 
Huyu Osati ana kimbelembele sana kwa wasiomjua watapata shida sana.
Hilo wimbi la tatu lipo wapi?...nani kamtuma?..huyu mjaluo ana matatizo sana.
Kwanza amesharudisha kadi ya chadema?
images (53).jpeg
Huyo hapo ! Ni kutoka jumuiya ya MATAGA!
 
Chanjo bado zipo kwenye majaribio.
Nchi kama Seychelles imechanja watu almost nchi nzima, ila imethibitika waliochanjwa wanaambukizwa tena...
Well said mkuu, barikiwa sana - Dk. Magifuli alikuwa anakumbusha Watanzania mara kwa mara tutakuja kumbukumbuka - na kweli!! Aliongezea tena kwamba anajuwa mambo mengi ambayo yapo nyuma ya pazia kuhusu ulazimishaji wa Dunia kuchanjwa chanjo ambazo zinazalishwa na Western Big Pharma Companies predominantly American.

Licha ya chanjo hizo kughubikwa na walakini mwingi bado W.H.O na World Bank wanazipigia debe mno - hawapendi/vumilia kiongozi yeyote Duniani ambaye anapinga matumizi ya chanjo hizo nchini mwake, watatumia mbinu za kila aina kumunyamazisha aidha politically au physically.

They mean it - consequently Dk. Magufuli knew better kuhusu scheme hii ovu ya kutaka kulazimisha chanjo za mRNA ambazo zinazalishwa kwa njia ya kijinetiki badala ya kutumia mbinu za asili zinazo tumiwa na makampuni mengi Duniani kuzalisha chanjo za kila sampuli vile vile wahusika uzalishaji/kampuni wana uzoefu wa zaidi ya miaka themanini plus kuzalisha chanjo ambazo ni proven.
 
Well said mkuu, barikiwa sana - Dk. Magifuli alikuwa anakumbusha Watanzania mara kwa mara tutakuja kumbukumbuka - na kweli!! Aliongezea tena kwamba anajuwa mambo mengi ambayo yapo nyuma ya pazia kuhusu ulazimishaji wa Dunia kuchanjwa chanjo ambazo zinazalishwa na Western Big Pharma Companies predominantly American...
Umeshaambiwa ni hiyari ama uikatae ama uikubali kama ilivyokuwa haki ya mgonjwa ama kukubali au kuyakataa matibabu,wewe hutaki acha wenye hiari wapate iliyo haji yao.
 
Well said mkuu, barikiwa sana - Dk. Magifuli alikuwa anakumbusha Watanzania mara kwa mara tutakuja kumbukumbuka - na kweli!! Aliongezea tena kwamba anajuwa mambo mengi ambayo yapo nyuma ya pazia kuhusu ulazimishaji wa Dunia kuchanjwa chanjo ambazo zinazalishwa na Western Big Pharma Companies predominantly American
Ni hiyari yako ndugu, hutaki usichanje na ukileta ubishi kama wa mwendazake na wewe unaendazako na maisha yanaendelea tu.
 
Nimeona Tangazo kwenye jumbe za watsapp ikionesha kuwa kitakuwa na mjadala kuhusu wimbi la tatu la corona nchini Tanzania.
Katika mjadala huo nimeona mwenyekiti wa MAT pamoja na Mwenyekiti aliyemaliza muda wake...
Yani wafuasi wa Meko bado hamuamini kama meko kafariki!

Hoja zimekaa kimekomeko,

Poleni kwa msiba.
 
Chanjo bado zipo kwenye majaribio.
Nchi kama Seychelles imechanja watu almost nchi nzima, ila imethibitika waliochanjwa wanaambukizwa tena...
Ujerumani kutoa CHANJO YA CORONA kwa wote kuanzia Julai 7,2021

Waziri wa Afya wa Ujerumani Jens Spahn amesema nchi yake itaanza kutoa chanjo za corona kwa kila mtu kuanzia Juni 7.

Germany drops COVID vaccination priority
 
Huyu osati ameongelea kama docta osati mkuu
 
Back
Top Bottom