Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

 
IWE itavyokua CCM hamna Maadili,Hamna Heshima,Hamna ADABU

Alieweza kumpa jeuri yule ***** ndani ya BUNGE na KUSEMA YUDA YUDA YUDA ni nani?

Unamwita YUDA mtu ambae ni MAKAMU WA RAIS ndani ya BUNGE unasema kuna Maadili CCM?

Wabunge wote Kimya,Hamna aliefyetuka hata MDOMO eti leo NCHIMBI kamati ya maadili imemvua uanachama...kummmmmmyooooo zenu

Nani aliekosa Maadili kati ya CCM na NCHIMBI???? Anae iongoza CCM,Waliopo kwenye hiyo kamati na wangine wote ni ma upinde ya mvua

Kila gazeti linamwita MAKAMU WA RAIS yuda hivi ni heshima hiyo? haijaanzia hapo hizi dharau mpk kufika hapo inaonyesha kuna MENGI NCHIMBI kapitia umo ndani,sijui hata u makamu aliukubali wa nini maana hata nikipiga hesabu za haraka Sioni ni lini aliufurahia hata au alikaa ofisini kama Mtumishi kweli.

Kama kuna Mtu ccm wanapaswa wamuombe MSAMAHA ni NCHIMBI na hili la nchimbi halitoenda Bure MUNGU analiona na atalilipa AIBU ya CCM inakuja kubwa kuliko zote hiii ni aibu na MUNGU karuhusu ili muumbuke vizuri.

Nchi inaongozwa na Mateja
Nchi inaongozwa na kikundi cha watu
Nchi inaongozwa na mijitu ya hovyo

2030 ikifika huyu mama akiwa Rais ...nipo Pale nimekaaaa mniite mbwaaaa.
Heshima ya mtu ndani ya familia na jamii yako kamwe haitatokana na umri, cheo, elimu. Jinsia. Kabila wala dini yako chake bali heshima na huduma unayotoa kwa watu wa familia au jamii hiyo.

Kama humheshimu Rais, mkuu wa nchi na Amirijeshi mkuu wao nani akuheshimu?
 
Ni kitu gani cha maana alichofanya huyu mtu mpka saivi aonekane kua ni shujaa?
Alikua sehemu ya serikali kipindi tupo ndani bila Internet

Yaani watu washindwane kwa masilahi yao then sisi tuchague upande

Acha wanyoshane kidogo
ndio maana nakupendaga
kwenye nyeupe unaita nyeupe
kwenye spade unaita spade sio kijiko kikubwa.
 
Noma tuishi tu
kwa kuongezea tu mwaka jana Nchimbi alipokuwa Katibu Mkuu wa CCM jamaa zetu wasema hovyo walimuita majina yote mabaya. Leo hii ghafla tu nchimbi amekuwa dhahabu kwa jamaa zetu wasema hovyo.
haya yote yanawezekana kwenye jamii yenye watu wanafki.
 
kwa kuongezea tu mwaka jana Nchimbi alipokuwa Katibu Mkuu wa CCM jamaa zetu wasema hovyo walimuita majina yote mabaya. Leo hii ghafla tu nchimbi amekuwa dhahabu kwa jamaa zetu wasema hovyo.
haya yote yanawezekana kwenye jamii yenye watu wanafki.
Mimi nachojua swala la Nchimbi limegeuka kua kete
 
Back
Top Bottom