econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 25,522
- 40,795
Yanabaki. Kafukuzwa chama. Ila Kuna uwezekano Rais akafuta hadhi yake ya ubalozi.Vipi kuhusu hadhi yake ya ubalozi na marupurupu yake ya kustaafu
Yanabaki. Kafukuzwa chama. Ila Kuna uwezekano Rais akafuta hadhi yake ya ubalozi.Vipi kuhusu hadhi yake ya ubalozi na marupurupu yake ya kustaafu
Kufa kufaana.Kule Deo kaula
Babes umekuwa na roho ngumu 😂😂😂😂Kama hasara ipo kwake binafsi hii ni nzuri na inavutia sana
Huyo mama unamjua vyema? Narudia unamjua?Hana impact kabisa. Hata ongea yake Leo ilikuwa ya shida.
Ila maadili ninayoBado wewe chadema itakutimua kama kibaka.
Tenaaaaa wanacheza karata zao barabara kabisa. Ccm ni MAFIACDM msije kulikaribisha ilo kubwa jinga emmanuel nchimbi.
Hao wote lao ni moja hakuna cha kufutwa uanachama wala nini,maigizo tu hayo.
Michezo tu ya CCM hiyo yaan sijui kwanini mimi naona hizi ni games tu za kijan ila uyu ataibukia upinzan mana kwasasa upinzani uko mioyoni mwa wabongo so they must have plan BMungu aepushe astaafu mazima.
Ndio maana nilihojiKwa hiyo sio Tena hadi4_9_2026!
Ingekuwa Kenya angeenda mahakamani kupinga kuvuliwa uanachama. Ila Tanzania huwezi kabisaInabidi fans of Nchimbi twende kwa Msajili tukadai haki, ikiwezeka a Ccm izuiwe kufanya siasa mpaka mambo yakae sawa🤣🤣🤣🤣
Wapinzani wajitambue kwakweliMichezo tu ya CCM hiyo yaan sijui kwanini mimi naona hizi ni games tu za kijan ila uyu ataibukia upinzan mana kwasasa upinzani uko mioyoni mwa wabongo so they must have plan B
Una maadil gani, chadema hakuna mwenye maadiliIla maadili ninayo
Ni kitu gani cha maana alichofanya huyu mtu mpka saivi aonekane kua ni shujaa?Babes umekuwa na roho ngumu 😂😂😂😂
Hata mimi nahisi.Lakini huu mchezo wao ni wa akili nyingi sana wametuzidi IQ sisiem
Wastaafu wa level yake ndani ya CCM huwa wanatumika kwenye vikao vyao. (Makamu wa rais na Makatibu wakuu wa CCM)Alaf mzee nchimbi alishaona haya mapema.
Ndo maana kwenye barua ameandika anastaafu na siasa zenyewe.
Sasa unamfukuza uanachama mtu aliye staafu siasa?
Ni maamuzi yasiyotumia akili.
Maana keshajitoa ina kuwa ni kazi Bure .kumfuta ni kuonyesha ina kisasi nae.roho inakuuma Kwa maamuzi yake
Alishapewa mgao wake. Ndio maana kaanzisha kamati ya maridhiano.Hajapenyezewa rupia huyo?
Kama ni hivyo kwanini wanifukuzeUna maadil gani, chadema hakuna mwenye maadili
Sisiem ni mafia bossHata mimi nahisi.
Labda kutuliza upepo wa 29102025 na kuingiza team mpya kwenye kabila korofi la wachaga wa zamani na sasa wanyaturu/wakurya..