Sisyphus
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,967
- 8,763
Polepole alikuwa anasema KATAA WAHUNICCM limegeuka Genge la wahuni
Polepole alikuwa anasema KATAA WAHUNICCM limegeuka Genge la wahuni
Hata Maalim Seif alifukuzwa kwa mtindo kama huu lakini alikuwa anapokea pensheni yake muda wote wa uhai wake.Mama ni muungwana atamlipa ila angekuwa Magu ingemkuta
Kweli kabisa na angejizolea umaarufu.Nchimbi alikuwa anatumia hiyo nafasi yake kujitengeneza kisiasa lengo 2030.
Alikuwa anataka kujionyesha kuwa yeye ni tofauti sana na utawala huu.
Ili ifikapo 2030 watu wamuone kama mbadala.
Angekuwa anawapenda sana watanzania angekaa pembeni toka mwanzo.
Amedai katibaKafanya kosa gani mbona halisemwi?
Sio CCM Bali NchimbiAjabu nyinyi manyumbu ya chadema mmekuwa bize siku mbili hizi na mambo ya ccm,
inaonekana mna muda wa kutosha kumbululambulula humu halafu mnalia njaa
Kama ni mambo ya ndani ya chama kwa nini wametangaza ??Kwanza pokea taarifa hiyo kama ilivyo. Amefanya nini ni mambo ya ndani ya chama kilichomvua uanachama!
😆😆😆😆😆Sababu na kutokuwwa na maadili
Fuko la inyaa kbsNi dubwasha!
Kuanzia muda huu ameshapoteza sifa ya kuwa ofisiniMpaka tarehe nne September taifa lina makamu asiye kuwa na chama.
Atapata stahiki zake zote. Sema atahangaika sana kupata hayo mafao maana Kila mtu atamkimbia.Kwa kuwa amefukuzwa uanachama atapata mafao yake mf.pensions na stahili nyingine kama VP Mstaafu?
Au na zenyewe watafuta?
Bado wewe chadema itakutimua kama kibaka.😆😆😆😆😆
Nchimbi mnamuona anafaa siku ukiona kaingia chadema uje hio ni assigment kapewa kama kina wassira na mrema, wabongo wepesi sana kutekwa akiliSio CCM Bali Nchimbi
Yule Odero Odero ndio hasikiiiAlafu mdanganywe kuwa wanataka kuridhiana.
Stahiki ziko pale pale😂😂😂😂😂 Nimecheka,hivi ukitimuliwa stahiki zako za Umakamu zinaisha au? 😆😆😆😆
Secretary General alikuwa very clear. Mlengwa mkuu wa taarifa ile ni wanachama wa CCM waliosambaa nchini na duniani kote.Kama ni mambo ya ndani ya chama kwa nini wametangaza ??