Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

Alaf mzee nchimbi alishaona haya mapema.
Ndo maana kwenye barua ameandika anastaafu na siasa zenyewe.
Sasa unamfukuza uanachama mtu aliye staafu siasa?
Ni maamuzi yasiyotumia akili.
Maana keshajitoa ina kuwa ni kazi Bure .kumfuta ni kuonyesha ina kisasi nae.roho inakuuma Kwa maamuzi yake
Wanajua ataendelea kuwasumbua kwa sababu ana wafuasi wake wengi ndani ya chama. Walichokifanya hapa ni kukata mti na pia kung'oa kabisa na mizizi ili matawi ya huo mti nayo yakauke.

Ni umafia wa hali ya juu sana.
 
Unafikiri wewe unajua kuliko yeye? Kete zinasukumwa mzee


Hapana Mkuu.
Labda awe na mfumo mwingine lakini mpaka hapa kwenye kete zake naona amekosea baadhi ya step

Mtu mmoja tuu ndiye naona kete zake anasukuma kwa uangalifu na sio rahisi kushtukiwa kwa sababu ni Hodari kwa kula na vipofu.

Hata hivyo kama ulivyosema. Mimi bado ni mdogo sana acha nijifunze wakubwa wanafanyaje
 
Back
Top Bottom