ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Bado hujasema Hadi useme ๐๐๐๐๐๐Saa100 ni mwizi na muuaji kabisa
Bado hujasema Hadi useme ๐๐๐๐๐๐Saa100 ni mwizi na muuaji kabisa
Huyu atapewa kesi nzito ya uhaini au ugaidi. Subiria tu.Umefika mda nae atumiwe kina mafwele aiseee
Mama ni muungwana atamlipa ila angekuwa Magu ingemkutaStahiki zinabaki. Ila wakukulipa Sasa.
Habari za YUDA? Maandishi ukutani!Alishaga pewa kalipio Kali huko nyuma na Sasa hakujifunza anaendelea ๐๐๐๐
Baba yake alishawahi shughulikiwa pia ๐๐๐๐View attachment 3657640
Hana impact kabisa. Hata ongea yake Leo ilikuwa ya shida.Leo ndio mara yangu ya kwanza kusikia Dr Rose Anafanya Kazi za Chama tangu achaguliwe
Mm sio shabiki wa ccm, wala sio wa Chadema, Cjawah kuvutiwa na siasa za Bongo.Wewe si ndio shabiki mkubwa wa CCM? Umeona uji ga wenu?
Diploma gani Marekani?Ana Diploma marekani.
Mkuu tuwe makini tusihoji Sana๐คฃDiploma gani Marekani?
Atalipwa tu. Maana mafao hayaangalii chama Bali nafasi.Mama ni muungwana atamlipa ila angekuwa Magu ingemkuta
Vipi kuhusu Haji Manara na Steve NyerereHii nchi ya genge la wahuni watatu au wanne kwa sasa Kikwete, Rostam, Samia labda na Abdul. Mwingine yoyote awe CCM, upinzani au asiye na chama anaweza kufukuzwa uanachama, kutekwa au kuuliwa.
Kufukuzwa kwake hakuna faida yoyote wala hasara
Yeye na waliomfukuza wote wapo kapu moja
Kufukuzwa kwake hakuna faida yoyote wala hasara
Yeye na waliomfukuza wote wapo kapu moja