aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 8,724
- 24,474
Umenikumbusha mbali hiyo kauli mkuu, 𤣠nimechekaElimu mbali mbali.
Umenikumbusha mbali hiyo kauli mkuu, 𤣠nimechekaElimu mbali mbali.
Unavutiwa na za kenya au mbele, au sio mwanetušMm sio shabiki wa ccm, wala sio wa Chadema, Cjawah kuvutiwa na siasa za Bongo.
Lincoln CollegeDiploma gani Marekani?
Yaani wanamfukuza wakati yeye kastaafu siasa na utumishi!Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imemfutia uanachama wa Chama hicho leo Agosti 26, 2026 aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmannuel Nchimbi ambaye alitangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa jana Agosti, 25, 2026.
Taarifa hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro leo Agosti 26, 2026 akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba.
Dkt. Migiro ameeleza kuwa uamuzi huo umefikiwa mara baada ya kukaliwa kwa vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya chama hicho ambavyo vilijadili suala la maadili ya Dkt. Nchimbi na vikaazimia kwa pamoja kumfuta uanachama mwanachama huyo.
Soma Pia: Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu
Wale waliokufa October wakati yeye kachimbia ndaniWala hakupunguzi bei ya mafuta
Intellectuals hawana kelele nyingi. Brief, clear, and to the point!Hana impact kabisa. Hata ongea yake Leo ilikuwa ya shida.
CHADEMA wasije wakaingia mkenge wa kupokea Mtu maarufu kutoka mboga mboga!Huu ni mtego wa mbogamboga kuvuruga msimamo wa chadema, baadae muanze kukanyaganaWataamini tu siku moja. Tuliwaambia kwa sasa ccm ni genge la wahuni! Hawakuamini. Matokeo wameanza kuyaona.
Huu ndio ukweliKufukuzwa kwake hakuna faida yoyote wala hasara
Yeye na waliomfukuza wote wapo kapu moja
Kama hasara ipo kwake binafsi hii ni nzuri na inavutia sanaHasara ipo kwa Nchimbi
Kufukuzwa ni sehemu ya kudhalilishwa.
Ni hatari
Nilishangaa kawaida anamjibu Makamu wa Rais kama mdogo wake. Kumbe walikuwa wanayao.Hivi kama akina kawaida ndio washauri huwezi kosa maamuzi kama haya.Makosa yalishanyika 2015.CCM kuja kurudi kwenye mstari nchi itakuwa imeshabagazwa vyakutosha
Wamemfukuza UANACHAMA! Hayo mengine yana taratibu zake.Yaani wanamfukuza wakati yeye kastaafu siasa na utumishi!
Mbona maajabu,hapo wamefukuzaje wakati hayupo?
AiseeHalmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imemfutia uanachama wa Chama hicho leo Agosti 26, 2026 aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmannuel Nchimbi ambaye alitangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa jana Agosti, 25, 2026.
Taarifa hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro leo Agosti 26, 2026 akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba.
Dkt. Migiro ameeleza kuwa uamuzi huo umefikiwa mara baada ya kukaliwa kwa vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya chama hicho ambavyo vilijadili suala la maadili ya Dkt. Nchimbi na vikaazimia kwa pamoja kumfuta uanachama mwanachama huyo.
Soma Pia: Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu
HakikaHuu ndio ukweli
Kwa ufupi, mm na siasa na bangi na polisiUnavutiwa na za kenya au mbele, au sio mwanetuš
Makebo naomba muhogo.Na chadema mumfute mbowe sasa ili iwe ngoma dro,
mkafanye kazi sio mnakalia politiki tu na kushindia mihogo na matobolwa
Kwanin aseme tupambanie tupate Katiba Mpya wakat Boss wake alishasema ni kajitabu tu?Kafanya kosa gani mbona halisemwi?