GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,885
- 18,636
Nchimbi alikuwa anatumia hiyo nafasi yake kujitengeneza kisiasa lengo 2030.
Alikuwa anataka kujionyesha kuwa yeye ni tofauti sana na utawala huu.
Ili ifikapo 2030 watu wamuone kama mbadala.
Angekuwa anawapenda sana watanzania angekaa pembeni toka mwanzo.