econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 25,522
- 40,795
Nina wasiwasi anaweza kuongeza muda wa kukaa madarakani.Yes akitoka ikulu hatokua na ulinzi madhubuti kama sasa pengine miongon mwa watesi wake wakaingia ikulu kajiandaaje? Hizi ni dalili za mtu ambae hana mpango wa kutoka ikulu ili kuwa na security ya uhakika