cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Ya hapa na pale!
😂😂😂😂
Ya hapa na pale!
Niwazoefu na wabobezi, hata hili litapita tu. C/o Kambona, Aboud Jumbe, Hamad Sharif, Horace Kolimba, Lowassa, Lyatonga, Membe, Kingunge,.... CCM ni ileile oo ni ilelee. Dr. Nchimbi ameundergo mutation. CCM ni dubwana kubwa ambalo hujui kichwa, kiwiliwili na mkia viko wapi. Huwezi kuwa mkuu wa taasisi yoyote nchini bila wao kujua wewe ni nani.Wataamini tu siku moja. Tuliwaambia kwa sasa ccm ni genge la wahuni! Hawakuamini. Matokeo wameanza kuyaona.
wewe uwekwe mtu kati na Kawaida kweli?
Alifukuzwa Membe then akarudishiwa kadi hamna jipya
Mapinduzi yakishafeli mengi yatafichuka.Kutoka Makamu wa Rais hadi kufukuzwa Uawanacha wa CCM?
Hapo Boss wake alitakiwa naye afukuzwe Urais.
Takataka kabisa.Intellectual ni Migiro? Nduo maana lilifurushwa kule UN awamu ya 2, linazeeka vibaya hili li mama, khaaah.
Serikali ya CCM ni serikali ya nusu mkate kati ya raia na jeshi. Au na hili hulifahamu?Hapa maCCM yamejipalia mkaa. This time lazima moto uwake.
Takataka kabisa.
MaCCM ni zaidi ya mashetaniSerikali ya CCM ni serikali ya nusu mkate kati ya raia na jeshi. Au na hili hulifahamu?
Daaaa hii michezoo kuigizaaaa basi sawa wa tz wajiinga wengi mnooooo........basi sawa....another Lowasa another Mbowe in the Making........ili mipesa demokrasia ije next 10yrsHalmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imemfutia uanachama wa Chama hicho leo Agosti 26, 2026 aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmannuel Nchimbi ambaye alitangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa jana Agosti, 25, 2026.
Taarifa hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro leo Agosti 26, 2026 akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba.
Dkt. Migiro ameeleza kuwa uamuzi huo umefikiwa mara baada ya kukaliwa kwa vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya chama hicho ambavyo vilijadili suala la maadili ya Dkt. Nchimbi na vikaazimia kwa pamoja kumfuta uanachama mwanachama huyo.
Soma Pia: Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu
Kuunga unga tuDeo Ndejembi ana elimu gani?
Very soon.Hivi kuna siku CCM watatoka madarakani kweli??