wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,633
- 3,463
Anatufokea eti tunajipakulia sana minyama.Kafanya kosa gani mbona halisemwi?
Anatufokea eti tunajipakulia sana minyama.Kafanya kosa gani mbona halisemwi?
Hilo nalo ni neno.Umefika mda nae atumiwe kina mafwele aiseee
Kule kwa Wakoma hakujawahi kutokea mjanja,wote wapuuzi puuzi tu na omba omba.anatokea Dodoma kwa wajinga wajinga
Pumbavu zenu atokee mwanaccm mwingine azungumzie katiba mpya huyo tuta-mpolepole.Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imemfutia uanachama wa Chama hicho leo Agosti 26, 2026 aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmannuel Nchimbi ambaye alitangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa jana Agosti, 25, 2026.
Taarifa hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro leo Agosti 26, 2026 akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba.
Dkt. Migiro ameeleza kuwa uamuzi huo umefikiwa mara baada ya kukaliwa kwa vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya chama hicho ambavyo vilijadili suala la maadili ya Dkt. Nchimbi na vikaazimia kwa pamoja kumfuta uanachama mwanachama huyo.
Soma Pia: Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu
Kama Nchimbi aliyezaliwa, kukua, na kuzeekea ndani ya TANU/CCM bila waa lolote hana maadili, wenye maadili ni akina nani sasa?Sababu ni kutokuwa na maadili
""KARIBU SANA CHADEMA DR.NCHIMBI TUJE KUZUNGUSHA MIKONO, PIIIPOO PAWAAA ""Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imemfutia uanachama wa Chama hicho leo Agosti 26, 2026 aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmannuel Nchimbi ambaye alitangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa jana Agosti, 25, 2026.
Taarifa hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro leo Agosti 26, 2026 akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba.
Dkt. Migiro ameeleza kuwa uamuzi huo umefikiwa mara baada ya kukaliwa kwa vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya chama hicho ambavyo vilijadili suala la maadili ya Dkt. Nchimbi na vikaazimia kwa pamoja kumfuta uanachama mwanachama huyo.
Soma Pia: Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu
Hii sio CDM ya dalali Mbowe hii ni Chadema ya TL.CDM msije kulikaribisha ilo kubwa jinga emmanuel nchimbi.
Hao wote lao ni moja hakuna cha kufutwa uanachama wala nini,maigizo tu hayo.
Kwq hyo na alivyosema ana staafu na siasa zenyewe wakaamua kummalizia kabisaWastaafu wa level yake ndani ya CCM huwa wanatumika kwenye vikao vyao. (Makamu wa rais na Makatibu wakuu wa CCM)
Katibu wao ni Pius Msekwa.
Kuna wakati wanatoa ushauri unao fanyiwa kazi.
Kumfukuza ni kumuondolea hadhi za aina hiyo.
Hivi ndivyo nilivyoelewa
ndivyo inavyotakiwa kuwaLeo ndio mara yangu ya kwanza kusikia Dr Rose Anafanya Kazi za Chama tangu achaguliwe
Makamu alishajiuzulu na Rais ameridhia kwani alivyowahi kufariki Omar Allly Juma Taifa lilikaa bila makamu kwa muda gani?Mpaka tarehe nne September taifa lina makamu asiye kuwa na chama.
😂😂😂😂Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imemfutia uanachama wa Chama hicho leo Agosti 26, 2026 aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmannuel Nchimbi ambaye alitangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa jana Agosti, 25, 2026.
Taarifa hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro leo Agosti 26, 2026 akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba.
Dkt. Migiro ameeleza kuwa uamuzi huo umefikiwa mara baada ya kukaliwa kwa vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya chama hicho ambavyo vilijadili suala la maadili ya Dkt. Nchimbi na vikaazimia kwa pamoja kumfuta uanachama mwanachama huyo.
Soma Pia: Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu
Wanafiki ni watu wabaya sana. Wiki zilizokwisha CCM walilaani CHADEMA kuwasimamisha au kuwafukuza Wanachama waliotoa tuhuma za 'Heche na tone tone'. CCM ilisema, Wanachama hao wana haki na msajili wa vyama awalinde. Leo wanatumia upanga ule ule wa CHADEMA wakisema wamemwelekeza mtuhumiwa 'kibla' kabla ya ''kumchinja'', ni halali
JokaKuu
huyo jamaa anajibu kiboya sana. ndani ya chama ni wapi sasandani ya chama kivipi, hata mimi ni mwanachama, wanachama inabidi tuelezwe kafanya kosa gani
Masters yake Bado anasoma tangu 2019 mpaka LeoDeo msomi!!!??
Unajua maana ya usomi!!?