Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

Maalim Seif akiwa Waziri Kiongozi chini ya rais wa Zanzibar Idris Abdul Wakil aliondolewa madarakani kwa njia kama hiyo, lakini Serikali ya Zanzibar iliendelea kumlipa maana ni haki yake.
Sidhani kama kutakuwa na mabadiliko kwa huyu mzee.
Ila kafuatilie, alianza kulipwa baada ya Maridhiano. Kipindi ana kesi ya uhaini, mke wake alikuwa anachangiwa na raia ili kukidhi mahitaji ya nyumbani.
 
Niwazoefu na wabobezi, hata hili litapita tu. C/o Kambona, Aboud Jumbe, Hamad Sharif, Horace Kolimba, Lowassa, Lyatonga, Membe, Kingunge,.... CCM ni ileile oo ni ilelee. Dr. Nchimbi ameundergo mutation. CCM ni dubwana kubwa ambalo hujui kichwa, kiwiliwili na mkia viko wapi. Huwezi kuwa mkuu wa taasisi yoyote nchini bila wao kujua wewe ni nani.
Kingunge na Lowassa hawakufukuzwa. Walihama wenyewe.
 

Attachments

  • 3AF3CC38-7B7C-4A4B-8049-3304AD44236B.jpeg
    3AF3CC38-7B7C-4A4B-8049-3304AD44236B.jpeg
    311.6 KB · Views: 8
  • IMG_7503.jpeg
    IMG_7503.jpeg
    326.1 KB · Views: 10
Kungekuwa na Chama Cha upinzani imara:
Kama kilivyokuwa DP Cha Mchungaji, Mtikila na akaenda kugombea kama Rais angeshinda:
ila kwa sasa Bora anyamaze Kimya:
Shida kubwa hakuwa na washauri imara:
Uliitupa Diplomasia baada ya kuteuliwa wakati ndio iliyo mlea na kumpa heshima:
Mwenye akisoma hapa ataelewa:
Huyo Mtikila hata ubunge alishindwa kupata.
 
Back
Top Bottom