AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,122
- 5,319
Kwaiyo kama alivyosema lisu watu wanatoana maini
Huyu mshenzi alipokwa Spika ndio alikuwa akizima mijadala ya utekaji pamoja na kukandamiza upinzani...Tulia
Sasahivi tunaimba naye pambio za maisha ni milima eeh😹Huyu mshenzi alipokwa Spika ndio alikuwa akizima mijadala ya utekaji pamoja na kukandamiza upinzani...
Huku ndiyo kutoana maini kwenyewe sasa,imesalia waanze kutoana mafuvu,kumbuka tayari hawanaga ubongo hawa!Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imemfutia uanachama wa Chama hicho leo Agosti 26, 2026 aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmannuel Nchimbi ambaye alitangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa jana Agosti, 25, 2026.
Taarifa hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro leo Agosti 26, 2026 akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba.
Dkt. Migiro ameeleza kuwa uamuzi huo umefikiwa mara baada ya kukaliwa kwa vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya chama hicho ambavyo vilijadili suala la maadili ya Dkt. Nchimbi na vikaazimia kwa pamoja kumfuta uanachama mwanachama huyo.
Soma Pia: Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu
Tutasubiri kuonaYeye akae kimya tu na sasa kawaponza wale wote aliowateua kuwa makatibu wa ccm wa wilaya mbalimbali,watafukuzwa wote
Sasa mpaka utoke kwenye mfumo...??? Kwanini wkakati akiwa huko kwenye mfumo hakutumia akili yake kabadilisha mambo..?/ Hata ikiwezekana wamfukuze..???Sasahivi tunaimba naye pambio za maisha ni milima eeh😹
Nadhani tatizo ni mfumo, haumpi mtu nafasi ya kutumia akili yake timamu kikamilifu.
Inammanisha waliobaki CCM wote ni Genge la Wahuni na Maharamia..Naomba kuuliza .... mbona kila mwanachama wa ccm akiwa tu mkweli , muaminifu ,mkataa mauaji, mkemea kuteka na mwenye msimamo mfn
Polepole
Simbachanewe .
Gwajima .
Nchimbi .
Luhaga.
Prof Tibaijuka .
Nk
Wanaondolewa na kuonekana hawafai . Bali wale watetea mauaji ,wabadhilifu,wauaji nk.wao ndiyo wanaoneka wazuri katika serikali hii ya Samia ???
Labda aliogopaSasa mpaka utoke kwenye mfumo...??? Kwanini wkakati akiwa huko kwenye mfumo hakutumia akili yake kabadilisha mambo..?/ Hata ikiwezekana wamfukuze..???
Aiseeh! Itakuwa Bora mkimpa kesi ya uhaini.Lazima ku tracks a numbers of list or chain or defaulter!...
basi amewahi kucheza karata zake, angechelewa kidogo angekula za usoMaalim Seif akiwa Waziri Kiongozi chini ya rais wa Zanzibar Idris Abdul Wakil aliondolewa madarakani kwa njia kama hiyo, lakini Serikali ya Zanzibar iliendelea kumlipa maana ni haki yake.
Sidhani kama kutakuwa na mabadiliko kwa huyu mzee.
Kama alivyofanya kwa lopelope na dkt slaaYanabaki. Kafukuzwa chama. Ila Kuna uwezekano Rais akafuta hadhi yake ya ubalozi.
Watuambie kosa la Dr Nchimbi kama Makamu wa Rais lilikuwa ni nini? Kudai Katiba Mpya?Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imemfutia uanachama wa Chama hicho leo Agosti 26, 2026 aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmannuel Nchimbi ambaye alitangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa jana Agosti, 25, 2026.
Taarifa hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro leo Agosti 26, 2026 akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba.
Dkt. Migiro ameeleza kuwa uamuzi huo umefikiwa mara baada ya kukaliwa kwa vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya chama hicho ambavyo vilijadili suala la maadili ya Dkt. Nchimbi na vikaazimia kwa pamoja kumfuta uanachama mwanachama huyo.
Soma Pia: Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu