Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

Ynajua nchimbi kama aliona yeye hakubaliani na ccm na hamtaki samia,alitakiwa atangaze kujiuzulu,umakamu na ajitoe ccm,lakini kutoka hafharani na kutoa matamko ya kupingana na sera za ccm ni lazima ataadhibiwa na kawapa ccm mileage za bure.Angewakomesha kama anetangaza yeye kujiuzulu
 
Alienda nayo kinyume kivipi? Mbona Polepole hakufutwa uanachama?
Ndugu yangu,naomba ujue kuwa ccm ina katiba yake ambayo inaeleza vizuri mno haki na wajibu wa kila mwanachama na kila kiongozi,tafuta katiba yao usome ndipo utajua kuwa nchimbi alivunja miiko ya uongozi.Kuhusu polepole,kwanza hakuwepo nchini na hatua za kumuita kwenye kamati yao ya nidhamu zilishaanza kuchukuliwa lakini hakuwepo nchini.Pia suala la polepole lina mauzauza mengi hakuna ajuaye yuko wapi,hakuna anayeweza kuthibitisha polepole alirejea nchini.Kwakuwa ni suala la kimauzauza mini siwezi kuongea zaidi
 
Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imemfutia uanachama wa Chama hicho leo Agosti 26, 2026 aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmannuel Nchimbi ambaye alitangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa jana Agosti, 25, 2026.

Taarifa hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro leo Agosti 26, 2026 akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba.

Dkt. Migiro ameeleza kuwa uamuzi huo umefikiwa mara baada ya kukaliwa kwa vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya chama hicho ambavyo vilijadili suala la maadili ya Dkt. Nchimbi na vikaazimia kwa pamoja kumfuta uanachama mwanachama huyo.

Soma Pia: Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

Tunategemea na Asha naye atajiuzulu ni aibu kuwa katibu mkuu wa ccm.
 
Dr. Nchimbi ni mkongwe ndani ya chama, anajua ni makosa gani ukiyatenda utafukuzwa. Dr. Nchimbi alikuwa anajua siku nyingi kuwa lazima atafukuzwa, na alijua kuwa akifukuzwa atakwenda kuunga juhudi vyama vya upinzani, hata hotuba yake ile yenye ukakasi ililenga hilo. Ndiyo maana aliwaambia wananchi wadai katiba mpya itumike kwenye chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu 2030. Kwavyovyote vile kauli yake ya kuitaka katiba mpya itumike kwenye chaguzi zijazo haina tofauti na kauli za wapinzani; maana yake CCM ianguke ikibidi kwa kutumia Tume Huru ya Uchaguzi kwenye chaguzi zijazo. Amekikosea chama kwelikweli kwa kumbembeleza mwana kwa wimbo mbaya, sawa na kuimba "OOOh, oyo oyo oyo CCM shindwa, CCM shindwa CCM shindwa kwakutumia katiba mpya chaguzi zijazo kwa Tume Huru na Katiba mpya". Maana na yeye kama Polepole anajua CCM inashindaje kwa kutumia katiba hi
Umeandika yote haya kutetea Ujinga aliokuwa akiuanika.

Bado ukazidi kuanika upupu ambao mwenye akili timamu angeukataa we una ushabikia.

Kama Sio njaa inahusika bhasi Neural network zimekata.
 
And you think watu hawata discuss kwa mtu ambae alifika position za juu? This is not 1960s

People want to know more, ussishie kusema mizania ya chama, no body give a *** about mizania, people want the actual facts
Hamna kitu hapo. Unajipotezea muda wako bure tu, kwa ccm ndio imetoka hivyo, wana heshima ya woga haijapata kuonekana.

Nani ampinge mwenyekiti, subiri utaona ninachokuambia na sanasana ni Nchimbi huyo huyo ambaye baada ya muda ataenda tena kuomba msamaha.

That's the discipline ccm style and it's a political party in which the chairperson is playing the role of an avuncular in the party's hierarchy and no any member is allowed to habour the dissenting views considered to be at variance with those held by the party supremo.
 
Asha aliomba kustaafunmuda mrefu yupo kwa muda tu,maisha yake ya bunafsi yana changamoto nyingi sana.Naamini amebakisha miezi 2 au 3 hivi atastaafu
Tunasubiri kwa hamu sana hayo yatokee na mengi mengine pengine ujumbe utafika.
 
Ynajua nchimbi kama aliona yeye hakubaliani na ccm na hamtaki samia,alitakiwa atangaze kujiuzulu,umakamu na ajitoe ccm,lakini kutoka hafharani na kutoa matamko ya kupingana na sera za ccm ni lazima ataadhibiwa na kawapa ccm mileage za bure.Angewakomesha kama anetangaza yeye kujiuzulu
Uko sahihi, sasa hivi anaonekana yeye ndie aliyekosea. Yeye alikubali kuwa Makamu wa Rais kama mchakato wake wa kuwa Rais kamili lakini iligoma.
 
Tuseme ndo nchi inakomboka ama? Mama jamaa si mwana mtandao kwa tulivyoambiwa na Polepole
 
Sasa umeshaamua kumtoa mtu maelezo ya nini maana haitabadilisha namna mnavyoonekana wajinga.Hamtaki kuambiwa ukweli na hicho chama kitaanguka
 
Alaf mzee nchimbi alishaona haya mapema.
Ndo maana kwenye barua ameandika anastaafu na siasa zenyewe.
Sasa unamfukuza uanachama mtu aliye staafu siasa?
Ni maamuzi yasiyotumia akili.
Maana keshajitoa ina kuwa ni kazi Bure .kumfuta ni kuonyesha ina kisasi nae.roho inakuuma Kwa maamuzi yake
Hawa walichofanya ni mchezo wa kuviziana
 
Kule malawi kwa kinachoendelea , usishangae TEACHER MCHONGA MENO nae angekuwepo angeitwa mhaini., yangemkuta ya slow slow.
His death is still in question though!. Angekuwa hai kwa msimamo yake wangeruka nae!. Hawa watu kwa sababu ya hofu kuu waliyo nayo hawataki upinzani wa aina yoyote ile!
 
Back
Top Bottom