Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,110
- 5,010
Dkt. Emmanuel Nchimbi amerejeshwa Makao Makuu ya CCM kuongeza nguvu. Anakutana na Paul Makonda, anakutana na majalada yakutaka Sabaya na timu yake warejeshewe madaraka . Je, Nchimbi atakubali ana na aina hii ya vijana kumsaidia kazi?
Je, Emmanuel Nchimbi atakubaliana na mkakati wa chama kuwaweka kando wazee kama akina Mangula kama ambavyo kwa sasa imeamuliwa ndani ya chama? Chongolo aliwekwa na mzee Mangula na sasa waliopo wamekataa Mangula na Falsafa zake na kurejea kwenye falsafa za mwenye kisu kikali ndiye mla nyama. Emanuel atawezaje kubalance story? Watamwacha afanye siasa safi au atalazimika kujiunga kwenye siasa chafu? Atabaki na diplomasia au itamlazimu ageuke kuwa mwanaharakati?
Endapo Nchimbi atagoma, Je, Mongela ataweza kuvivaa viatu hivi?