Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Basi sawaSiyo tu bora, bali anafaaa sana. Arejeshwe mapema kazini.
Basi sawaSiyo tu bora, bali anafaaa sana. Arejeshwe mapema kazini.
Hakika... uko sahihi kabisaKwenye utumishi wa watu na
utumishi wa umma, kila mtu lazima aweze kufanya kazi na kila mtu!.
P
Shule zimefungwa buloo ndo haya twayaona.Kwa nn watu wajinga wanazidi kuongezeka?,umesoma ulichokiandika?!.
Wee jamaaa. Eti........... ndo mshua wako, nimechekaje?Acha mgambo waruke na kukanyagana.....mwishowe utakayemuona anatoka na taulo chumbani Kwa mama ndiye babayako
Shetani anaweza kufanya kazi na shetani mwenzie.Makonda anaweza kufanyakazi na Sabaya
Hebu fafanua hapo nani mjini yupi shamba haya maneno ya mshamba watu waliufyata ndani ya miaka 6!Kuna mtoto wa mjini na mshamba hapo
Watu huongozwa na siyo kutawaliwa. Andiko lako linaonesha wewe ni muumini wa kutawaliwa siyo kuongozwa. Kama sheria zilizotumika ndizo zinatumika leo kwann watu waufyate na huyo aliyewafanya waufyate leo yupo wapi??Hebu fafanua hapo nani mjini yupi shamba haya maneno ya mshamba watu waliufyata ndani ya miaka 6!
Yes my left hand una tatizo la brachial plexus injury Pascal Mayalla apata ajali..... na baada ya kupona nilitoa shukrani Waraka wa Pascal Mayalla - Asanteni Sana!Mkuu samahani sn, juzi nimekuona TBC na nimewahi kukuona Star TV na Channel ten, mkono wa kushoto huwa una shinda? samahani sina nia mbaya mkuu.
Nimekukumbusha kuhusu kauli za kuita watu washamba!Watu huongozwa na siyo kutawaliwa. Andiko lako linaonesha wewe ni muumini wa kutawaliwa siyo kuongozwa. Kama sheria zilizotumika ndizo zinatumika leo kwann watu waufyate na huyo aliyewafanya waufyate leo yupo wapi??