Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,110
- 5,010
Kwa nn watu wajinga wanazidi kuongezeka?,umesoma ulichokiandika?!.Dr Emmanuel Nchimbi amerejeshwa Makao Makuu ya CCM kuongeza nguvu. Anakutana na Paul Makonda, anakutana na majalada yakutaka Sabaya na timu yake warejeshewe madaraka . Je, Nchimbi atakubali ana na aina hii ya vijana kumsaidia kazi...
Amerejeshwa, hajajirejesha!! Alipewa kazi na labda atapewa kazi!!Dr Emmanuel Nchimbi amerejeshwa Makao Makuu ya CCM kuongeza nguvu. Anakutana na Paul Makonda, anakutana na majalada yakutaka Sabaya na timu yake warejeshewe madaraka ..
Kwenye utumishi wa watu na utumishi wa umma, kila mtu lazima aweze kufanya kazi na kila mtu!.Dr Emmanuel Nchimbi amerejeshwa Makao Makuu ya CCM kuongeza nguvu. Anakutana na Paul Makonda, anakutana na majalada yakutaka Sabaya na timu yake warejeshewe madaraka...
Ndege wafananao huruka pamoja!Dr Emmanuel Nchimbi amerejeshwa Makao Makuu ya CCM kuongeza nguvu. Anakutana na Paul Makonda, anakutana na majalada yakutaka Sabaya na...
Especially nyote mkiwa high table ndio inanoga zaidi 😅😅🙏🙏 !Kwenye utumishi wa watu na
utumishi wa umma, kila mtu lazima aweze kufanya kazi na kila mtu!.
P
Wasela wawili kambi tofauti wataelewana tu!Dr Emmanuel Nchimbi amerejeshwa Makao Makuu ya CCM kuongeza nguvu. Anakutana na Paul Makonda, anakutana na majalada yakutaka Sabaya na timu yake warejeshewe madaraka...
Kwa hiyo hata kama kabinti🤪Acha mgambo waruke na kukanyagana.....mwishowe utakayemuona anatoka na taulo chumbani Kwa mama ndiye babayako
Huu uzi ufungwe tu 😀😀😀Acha mgambo waruke na kukanyagana.....mwishowe utakayemuona anatoka na taulo chumbani Kwa mama ndiye babayako
Bora ya SabayaKarejeshwa kama Katibu mkuu?
Tuna Imani na naniliu!
Akikusikia Mbowe utafukuzwa Hapo Ufipa st 😂Bora ya Sabaya
Mkuu samahani sn, juzi nimekuona TBC na nimewahi kukuona Star TV na Channel ten, mkono wa kushoto huwa una shinda? samahani sina nia mbaya mkuu.Kwenye utumishi wa watu na
utumishi wa umma, kila mtu lazima aweze kufanya kazi na kila mtu!.
P
Kaenda X-MaxAkikusikia Mbowe utafukuzwa Hapo Ufipa st 😂
Kuna mtoto wa mjini na mshamba hapoWasela wawili kambi tofauti wataelewana tu!
Siyo tu bora, bali anafaaa sana. Arejeshwe mapema kazini.Bora ya Sabaya