Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Halina uhai tena bro !Sema humjui vizuri hilo ni kundi Lowassa halikufaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halina uhai tena bro !Sema humjui vizuri hilo ni kundi Lowassa halikufaa
Makundi ni Msoga sukuma na la visiwani,hayo kwa sasa ndio yana run.Hayupo nje ya makundi.
Ana kundi lake kubwa na ndilo lililomfikisha hapo alipo.
Ukisikia wana "mtandao" ndiyo hao.
Naam! Lakini sio active tena , hata kule alikuwepo kwa sababu upepo ndio ulikua unaelekea huko wakati huo
Ni kweli kabisaHata dr Lawrence Gama ametokea Ruvuma.
Kwahiyo mkoa wa Ruvuma pekee umetoa makatibu wakuu wa CCM watatu.
Hata hivyo ukanda na ukabila havipo tena, ndiyo maana kanda ya Kaskazini imefanikiwa kutoa PM 4 . Mkoa mmoja wa Arusha kabla haujagawanywa umetoa PM 3. Yote yanawezekana na haijawahi kuwa tatizo kwenye nchi yetu
Mpika chai wake Mwita Waitara alimkimbia akaenda Chadema! Sasa sijui wataelewana tena?Hapo naungana na wewe.Huyu jamaa ana fitina yuko tayari akuondoshe duniani. Amina Chifupa nyota ilipong'ara, Nchimbi alimfitini mno binti wa watu. Ipyana aliposhinda UVCCM ,Nchimbi hakukubali kushindwa. Ipi alikufa kwa mazingira ya kutatanisha. MAKONDA ACHUNGE SANA YAANI. AKIMZIDI JAMAA UMAARUFU TU,BAASII,. HATA CHAI PALE LUMUMBA ASINYWE.
Kweli kipindi kile walishindwa kuelewana.Nchimbi na hatari na PHD yake fake ya washington online university.Mpika chai wake Mwita Waitara alimkimbia akaenda Chadema! Sasa sijui wataelewana tena?
Nilikua namaaanisha makundi haya yalio active kwa sasa mkuu.Hahah Nchimbi yupo nje ya makundi?
Hebu futa hii maneno mzee baba, huyu ni CCM kundi la bao la mkono, siasa za kina jeikei...
MsekwaHiki cheo naona ni mahsusi kwa watu wa kusini na nyanda za juu kusini,Iringa ikiwa kinara.Hebu angalia orodha hii:-
1.Rashid M Kawawa - Ruvuma
2. Horace Kolimba - Iringa
3. Philip Mangula - Iringa
4. Daniel Chongolo - Iringa
5. John Nchimbi - Ruvuma
Kundi la Lowassa ni kikundi ndani kundi la "mtandao."Makundi ni Msoga sukuma na la visiwani,hayo kwa sasa ndio yana run.
Hayupo miongoni mwao.
Nilikua namaaanisha makundi haya yalio active kwa sasa mkuu.
Haupo serious, mtu mpya apewe u katibu mkuu wa CCM? Hata chadema hawawezi kumpa mtu mpya.Hivi ccm haina watu wapya
ModeratorKulikoni MAKONDA?,alikut..ombea mama yako?
Niliwashauri kumrudisha Dr Slaa, Bado wanasuasua.Mmmh! Siasa zinaenda kupita kipindi kigumu. Chadema pangeni upya safu ya viongozi, bila ukorofi wa Dr Slaa, Jeuri ya Lissu, akili ya Mnyika, ubabe wa Mbowe, hekima za Prof Baregu na harakati za MM Mwanakijiji kutoboa ni ngumu.
Sijui nitakuwa sifahamu vizuri .Kundi la mzee wa bwagamoyo halijawahi kufa mkuu, hilo kundi ndio pingili za chama na pengine nchi, wana nguvu hatari...
Kuna raia wao sio wanasiasa lakini ndio vinara wa kutoa dira na mwelekeo wa nani awe juu na nani afuate...
Wewe mwenyewe ulikuwa hujui kitatokea nini!Kwa sasa CHADEMA wameshavurugwa akili zao maana hawaelewi washike lipi au wajadili maandamano au waende kamati kuu nzima kwenye mdahalo na mheshimiwa Makonda au wajadili uteuzi wa Mheshimiwa Emmanueli Nchimbi kuwa katibu Mkuu wa CCM .
Hata akimpinga makonda haina shida makonda amepata kiboko yake maana huyu mzee pia ni kigagulaSafi sana. Ila akitaka kwenda vizuri, ahakikishe Makonda anapangiwa kazi nyingine au ajiandae kufuata nyayo za Makonda.
Umenikumbusha mbali mkuu, sijui kama hii jana inaweza kurudi tena leo.Mmmh! Siasa zinaenda kupita kipindi kigumu. Chadema pangeni upya safu ya viongozi, bila ukorofi wa Dr Slaa, Jeuri ya Lissu, akili ya Mnyika, ubabe wa Mbowe, hekima za Prof Baregu na harakati za MM Mwanakijiji kutoboa ni ngumu.
Ohhoo! Nilikua sifahamu hili, na pia kama ni hivyo kweli ni hivi karibuni limekusnywa na kurudishwa kwenye line kupitia mgongo wa hilo la mtandao! timu lowasa ilipotezwa kabisa kipindi kile cha mwendazake, waliosalia waliunga mkono juhudi, waliopona kama wakini Emma kutoka na stutus yao waliwekwa sehemu laini mbali na mfumo ndio wakaibuliwa leo.Kundi la Lowassa ni kikundi ndani kundi la "mtandao."
Baada ya joto la uchaguzi wa mwaka 2015 na yale yaliyotokea baada ya uchaguzi kundi hilo limerudi/ limerudishwa kundini ili kuimarisha ""mtandao",