Niwaheri
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,994
- 4,729
Chukua dagaa wa kulumangiaBado ni tetesi siwezi kutia neno lolote kwa sasa nawaza ugali nile na mboga gani mchana wa leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chukua dagaa wa kulumangiaBado ni tetesi siwezi kutia neno lolote kwa sasa nawaza ugali nile na mboga gani mchana wa leo
Jamaa kashapona?Kila lenye heri bwana Makonda nenda kasimamie ustawi wa Umoja na mshikamo wa Taifa na sio vurugu na Mapambano.
Soma Pia:
- Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi
- Dkt. Emmanuel Nchimbi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM kumrithi Daniel Chongolo
- Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi
Mungu ibariki CCM.
Hahaha kweliHata wamlete trumo kama si Obama..
Ccm tumeichoka
Wafuasi wake wanajaribu bahati huku na yeye akiwatuma wamsemee jina lisipoteeHivi huyo makonda ana nini cha maana na cha ajabu kiasi mnashinda humu kumpapalikia hivi?
Hii nchi kweli ipo ICU
Usidharau IDAngesema britanicca , sawa. Lkn wewe uliyekuja kibingine na id mpya!!
Lisemwalo lipoKila lenye heri bwana Makonda nenda kasimamie ustawi wa Umoja na mshikamo wa Taifa na sio vurugu na Mapambano.
Soma Pia:
- Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi
- Dkt. Emmanuel Nchimbi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM kumrithi Daniel Chongolo
- Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi
Mungu ibariki CCM.
Chukuwa dagaa mchele wa kukaanga na fungu la mchicha maisha safi kabisa.Bado ni tetesi siwezi kutia neno lolote kwa sasa nawaza ugali nile na mboga gani mchana wa leo
hawa wote hawajawahi kushinda uchaguzi hata wa kiranja wa bweniKila lenye heri bwana Makonda nenda kasimamie ustawi wa Umoja na mshikamo wa Taifa na sio vurugu na Mapambano.
Soma Pia:
- Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi
- Dkt. Emmanuel Nchimbi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM kumrithi Daniel Chongolo
- Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi
Mungu ibariki CCM.
Kwahiyo ccm imeishiwa watu mpaka Nyamitako ndio awe makamu?Lisemwalo lipo
Huyu si alisemwa yuko mahutihuti? Imekuwaje tena?Kila lenye heri bwana Makonda nenda kasimamie ustawi wa Umoja na mshikamo wa Taifa na sio vurugu na Mapambano.
Soma Pia:
- Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi
- Dkt. Emmanuel Nchimbi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM kumrithi Daniel Chongolo
- Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi
Mungu ibariki CCM.
🤣🤣🤣Chukua dagaa wa kulumangia
wewe sio kama sisi tunaokula mateke, Weye unakula mema ya nchi,Bado ni tetesi siwezi kutia neno lolote kwa sasa nawaza ugali nile na mboga gani mchana wa leo
Nchimbi alikuwa Mbunge tena wa Jimbo machacharihawa wote hawajawahi kushinda uchaguzi hata wa kiranja wa bweni
Sidhani kama Paul Makonda atakuwa na afya ya kufanya hiyo kazi. Akitoka huko aliko atakuwa ni gari la mkaa, tripu shamba tripu gereji. Haya maeneo ya maini, figo na bandama, mapafu hatawezi kutengamaa.Kila lenye heri bwana Makonda nenda kasimamie ustawi wa Umoja na mshikamo wa Taifa na sio vurugu na Mapambano.
Soma Pia:
- Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi
- Dkt. Emmanuel Nchimbi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM kumrithi Daniel Chongolo
- Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi
Mungu ibariki CCM.
Kula sumu ufe mkuu!!Hivi huyo makonda ana nini cha maana na cha ajabu kiasi mnashinda humu kumpapalikia hivi?
Hii nchi kweli ipo ICU