Tetesi: Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa makamu mwenyekiti, Paul Makonda Katibu Mkuu na Amos Makalla kubaki Katibu wa itikadi na uenezi

Tetesi: Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa makamu mwenyekiti, Paul Makonda Katibu Mkuu na Amos Makalla kubaki Katibu wa itikadi na uenezi

Lisemwalo lipo
Kwahiyo ccm imeishiwa watu mpaka Nyamitako ndio awe makamu?

Kama mna akili timamu hiyo nafasi hawezi kupewa mtoto mdogo, makamu ndio anaongoza kamati ya usalama na maadili, sasa mnafikiri anaweza kupewa kichaa nafasi hiyo.

Ule ukatibu wenezi kichaa yeyote anaweza kupewa maana kazi kubwa ya mwenezi ni kuropoka tu na kueneza propaganda.
 
Sidhani kama Paul Makonda atakuwa na afya ya kufanya hiyo kazi. Akitoka huko aliko atakuwa ni gari la mkaa, tripu shamba tripu gereji. Haya maeneo ya maini, figo na bandama, mapafu hatawezi kutengamaa.
 
Makonda mwenyewe yuko wapi ?
 

Attachments

  • 20240805_102405.jpg
    20240805_102405.jpg
    52.6 KB · Views: 2
Back
Top Bottom