Tetesi: Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa makamu mwenyekiti, Paul Makonda Katibu Mkuu na Amos Makalla kubaki Katibu wa itikadi na uenezi

Tetesi: Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa makamu mwenyekiti, Paul Makonda Katibu Mkuu na Amos Makalla kubaki Katibu wa itikadi na uenezi

Kwa Rais tuliyekuwa naye hivi sasa, lolote lile linawezekana. Muda tu ambao utaongea.
 
Kwahiyo walimficha ili apigwe chale za kinga kwenye lile wezere lake ili asije akaliwa nyama na Baba Yake February.

It's now a battle of the supernatural😂😂.
May the bigger mchawi win.
Huku Gambosh kwa msaada wa Wete na huku kwingine Kwa Msisi.
Huku Wete na Giningi tupo imara tunawasubiri akina February na nyape waujaribu mziki wetu !

Huku moshi huwa haufuki kwenye gari 🤣🤣🤣 !
 
Back
Top Bottom