Checheto
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 836
- 694
We bado mtoto kuna mambo hujayaelewaIwe kweli au uzushi, lengo ni kujaribu kufunuki ujambazi walioufanya kwa viongozi wa CHADEMA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We bado mtoto kuna mambo hujayaelewaIwe kweli au uzushi, lengo ni kujaribu kufunuki ujambazi walioufanya kwa viongozi wa CHADEMA
Kwa Rais tuliyekuwa naye hivi sasa, lolote lile linawezekana. Muda tu ambao utaongea.Kila lenye heri bwana Makonda nenda kasimamie ustawi wa Umoja na mshikamo wa Taifa na sio vurugu na Mapambano.
Soma Pia:
- Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi
- Dkt. Emmanuel Nchimbi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM kumrithi Daniel Chongolo
- Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi
Mungu ibariki CCM.
what happens?Nchimbi alikuwa Mbunge tena wa Jimbo machachari
Makonda hana shida yoyote kiafyaKwani katoka Mzena?
Nimekumiss mbona huonekani jukwaani siku hiziHuyo msanii sio steve nyerere kweli ama Zembwela[emoji23]
Miss u more, mambo mengi tu beste ila nipo nimerudiNimekumiss mbona huonekani jukwaani siku hizi
Karibu sana,Miss u more, mambo mengi tu beste ila nipo nimerudi
AsanteeKaribu sana,
DuuhHivi huyo makonda ana nini cha maana na cha ajabu kiasi mnashinda humu kumpapalikia hivi?
Hii nchi kweli ipo ICU
Spinaches kwa afya yetu au Kale 🥬 🙌Bado ni tetesi siwezi kutia neno lolote kwa sasa nawaza ugali nile na mboga gani mchana wa leo
Huku Wete na Giningi tupo imara tunawasubiri akina February na nyape waujaribu mziki wetu !Kwahiyo walimficha ili apigwe chale za kinga kwenye lile wezere lake ili asije akaliwa nyama na Baba Yake February.
It's now a battle of the supernatural😂😂.
May the bigger mchawi win.
Huku Gambosh kwa msaada wa Wete na huku kwingine Kwa Msisi.