Pre GE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi: Mwenyekiti wetu amefanya mambo makubwa bila majivuno. Angekuwa mwingine kafanya hakuna rangi tungeacha kuiona

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uovu Huvuma kuliko wema ,ndio maana sio rahisi hivyo by the way ni miaka 3 tuu so Bado sana
Issue ni kwamba jamaa anazungumziwa kana kwamba bado yupo hai na si kwamba ni mtu ambaye hayupo tena, mtu ameshafariki ila bado anapigwa vijembe kimafumbo usipoelewa unaweza ukadhani kazungumziwa mtu aliye hai kumbe aliyekusudiwa hayupo hai keshazikwa.

Kuna tofauti ya kueleza maovu na kupiga tu vijembe mkuu.
 
Maovu yake na mazuri yake kwani yamefariki?
 
Hivi kwa nini mkuu hayo mambo unayoeleza mara zote hapa inakuwa kama ni mambo ambayo unayajua wewe tu na wengine hawajui au shida nini? Kama mambo ni mazuri hivyo na faida kwa kila mmoja sasa kwa nini watu wasiyaone na kuyatambua hadi wewe uje kuyaeleza hivyo?
 
Mwenezi aliapa kuilinda legacy, mkuu anaiponda legacy.
Kazi kwelikweli.
Hana hiyo jeuri huyo mwenezi amewekwa hapo kumsaidia maisha akishindwa atafukuzwa.

Kwanza ana kashfa kama zote so Mama anamstahi alitakiwa akanyee debe kama Sabaya.
 
Yeye mwenyewe yupo kijini
 
Nafurahi sana Kwa swali lako la kujitoa ufahamu.

Ulitegemea wewe na wenzako wenye chuki mtayasema? Ndio maana KM amesema Mama hajigambi.

Wenye akili na ambao hawako biased wanayasema wengine Hawa hapa πŸ‘‡

View: https://twitter.com/twendenamama/status/1747476098001088776?t=clTPpdS1W_1-a6DCNudywQ&s=19
Harafu ulivyokuwag mjinga unaongea kana kwamba nayatunga wakati nayaleta kutoka kwenye source rasmi Sasa wewe una shida gani?
 
Mkuu hiyo si ni serikali au kuna siku serikali iliacha kufanya majukumu yake kama hayo? Cha ajabu ni kipi mkuu?
Serikali ya awamu ya 6 imefanya Kwa Kasi kubwa ndio maana inapewa credit au wewe unatakaje? Tumsifu Mwendazake au? πŸ˜†πŸ˜†
 
Chawa mnaboa Sana.
Hata 7ya angechaguliwa kua katibu mkuu wa CCM , mngesema naye amefanya makubwa, Hana makuu, nimchapa kazi na ana maadili mema.
Ila sijawahi kusikia mkisifia pampas.
Kinachokutesa wewe I kuona Samia anasifiwa.Haya baba Yako kafanya makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…