ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #61
Huyu anatembea kwenye mstari ananyoosha maelezoDuuu sasa hakuna waropokaji? Huyu wa Dar?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu anatembea kwenye mstari ananyoosha maelezoDuuu sasa hakuna waropokaji? Huyu wa Dar?
Issue ni kwamba jamaa anazungumziwa kana kwamba bado yupo hai na si kwamba ni mtu ambaye hayupo tena, mtu ameshafariki ila bado anapigwa vijembe kimafumbo usipoelewa unaweza ukadhani kazungumziwa mtu aliye hai kumbe aliyekusudiwa hayupo hai keshazikwa.Uovu Huvuma kuliko wema ,ndio maana sio rahisi hivyo by the way ni miaka 3 tuu so Bado sana
Maovu yake na mazuri yake kwani yamefariki?Issue ni kwamba jamaa anazungumziwa kana kwamba bado yupo hai na si kwamba ni mtu ambaye hayupo tena, mtu ameshafariki ila bado anapigwa vijembe kimafumbo usipoelewa unaweza ukadhani kazungumziwa mtu aliye hai kumbe aliyekusudiwa hayupo hai keshazikwa.
Kuna tofauti ya kueleza maovu na kupiga tu vijembe mkuu.
Samia sio level za wapumbavu kama wewe na yule bichwa kubwa Mwendazake aliyekuwa mwizi na baada ya kuumbuliwa akafukuza CAG.Amefanya kwa kuruhusu mafisadi
Naona unajitoa ufahamu na kuvaa miwani ya mbao 😂😂
-Maelfu ya Ajira
-Maelfu ya miradi ya maji
-Mafanikio sekta ya michezo
-Ameleta mapinduzi makubwa sekta ya Afya
-Ameleta mapinduzi na mageudi makubwa sekta ya Elimu
-Ameirudisha heshima ya Kilimo
-Ameirudisha Diplomasia ya Tanzania iliyohatibiwa
-Mafanikio mkubwa kwenye Utalii
-Mafanikio makubwa kwenye miundombinu kuanzia viwanja vya ndege, Bandari Hadi Barabara
-Ameweka rekodi ya kukusanya pesa nyingi haijawahi tokea
-Mafanikio mkubwa kwenye biashara, uwekezaji,viwanda na Uchumi
View: https://www.instagram.com/p/C2K1knTvEIr/?igsh=MWI2azlrNW05enRyag==
Hayo ni Baadhi tuu ambayo yalimshinda Mwendazake akisingizia Sgr,bwawa na blaa blaa zingine zisizo na msingi 🤣🤣🤣
View: https://www.instagram.com/p/C2JwdLot0EP/?igsh=MWhmbzNobjM5b2h3bA==
Hana hiyo jeuri huyo mwenezi amewekwa hapo kumsaidia maisha akishindwa atafukuzwa.Mwenezi aliapa kuilinda legacy, mkuu anaiponda legacy.
Kazi kwelikweli.
Labda mumeo ndiyo ametiwaSamia sio level za wapumbavu kama wewe na yule bichwa kubwa Mwendazake aliyekuwa mwizi na baada ya kuumbuliwa akafukuza CAG.
Samia amewatia mbaroni mafisadi kibao tuu wa awamu ya 5
Yeye mwenyewe yupo kijiniHivi kwa nini mkuu hayo mambo unayoeleza mara zote hapa inakuwa kama ni mambo ambayo unayajua wewe tu na wengine hawajui au shida nini? Kama mambo ni mazuri hivyo na faida kwa kila mmoja sasa kwa nini watu wasiyaone na kuyatambua hadi wewe uje kuyaeleza hivyo?
Nafurahi sana Kwa swali lako la kujitoa ufahamu.Hivi kwa nini mkuu hayo mambo unayoeleza mara zote hapa inakuwa kama ni mambo ambayo unayajua wewe tu na wengine hawajui au shida nini? Kama mambo ni mazuri hivyo na faida kwa kila mmoja sasa kwa nini watu wasiyaone na kuyatambua hadi wewe uje kuyaeleza hivyo?
Andika vizuri mkuu ili nikuelewe.Mapovu yake na mazuri yake kwani uamefariki?
Mwandiko wangu ni huu hapa 👇Andika vizuri mkuu ili nikuelewe.
Inawezekana kabisa maana anatumia nguvu kutupostia mipicha picha.Yeye mwenyewe yupo kijini
Inawezekana kabisa maana anatumia nguvu kutupostia mipicha picha.
Sio tuu picha nawapa Hadi Video.Kwa Sasa Kijijini ni kama mjiniYeye mwenyewe yupo kijini
Serikali ya awamu ya 6 imefanya Kwa Kasi kubwa ndio maana inapewa credit au wewe unatakaje? Tumsifu Mwendazake au? 😆😆Mkuu hiyo si ni serikali au kuna siku serikali iliacha kufanya majukumu yake kama hayo? Cha ajabu ni kipi mkuu?
Kinachokutesa wewe I kuona Samia anasifiwa.Haya baba Yako kafanya makubwaChawa mnaboa Sana.
Hata 7ya angechaguliwa kua katibu mkuu wa CCM , mngesema naye amefanya makubwa, Hana makuu, nimchapa kazi na ana maadili mema.
Ila sijawahi kusikia mkisifia pampas.
Sio tuu picha nawapa Hadi Video.Kwa Sasa Kijijini ni kama mjini
Kazi nzuri ya Mama Kijijini Busokelo
View: https://youtu.be/39hY-20MKl8?si=IXY6aFXXYdUyMFqL
Soma hiyoo 👇
View attachment 2874181View attachment 2874182