Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #21
Mimi siwezi nikakuheshimu wewe maana hujitambui hata kidogo.Nakuheshimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi siwezi nikakuheshimu wewe maana hujitambui hata kidogo.Nakuheshimu
Sidhani kama Mzee Makamba akiwa RC Kigoma alishindwa ku.lipia JM hadi Mkapa akamlipia.....groomed wote haoSimjui, hakulipiwa kuwa hana hela ni ule ushikaji wa kifisadi ndani ya system
Umenena ukweli kabisa.Kimsingi hata mama mhe. Samia Suluhu Hassan ana moyo mzuri sana wa kusaidia watu ingawa hajioneshi
We mjinga unanitafuta kama kawaida ako, endelea soon nitakushughulikia nadhani unanielewa vizuriBila shaka tayari umeshajifukiza vile vitu vyako.
Haya yote ni majangili ya mali za umma yanajuanaSidhani kama Mzee Makamba akiwa RC Kigoma alishindwa ku.lipia JM hadi Mkapa akamlipia.....groomed wote hao
Kichwa chako hakipo sawa kabisa dogo.We mjinga unanitafuta kama kawaida ako, endelea soon nitakushughulikia nadhani unanielewa vizuri
Basi matokeo utakayokutana nayo hayatakuwa mazuri kwa upande wakoMimi siwezi nikakuheshimu wewe maana hujitambui hata kidogo.
Wewe ni mpaka upate matibabu ndio upone na kuanza kuheshimika kwa watuBasi matokeo utakayokutana nayo hayatakuwa mazuri kwa upande wako
Hawakuwahi kuwa mafisadi ndiyo sababu wanaokosa hizo pesa.CCM ni matapeli haswa, ukoo wa Nchimbi umejaa serikalini wakose ada ya milioni 2 tena Mwenyekiti wa UVCCM?
Sahahisho: Ni Chawa mahiri na si kada mahiri.Kwa nini haufahamu taarifa muhimu kama hizo wakati wewe ni kada mahiri??
Mbona unauliza swali la kitoto kiasi hiki ndugu yangu?Hiyo pesa Mkapa alitoa wapi?
Huko wamejaa wachuna ngozi.Acha matusi wewe.nani kakwambia Mbozi ndiko kumejaa masikini
Wewe mpuuzi tangu lini neno masikini likawa tusi?Acha matusi wewe.nani kakwambia Mbozi ndiko kumejaa masikini
Hata Ridhiwani alilipiwa Ada na MkapaNdugu zangu Watanzania,
Katibu Mkuu wa CCM Dkt Emmanueli Nchimbi Ametua kusini Rasmi kuanza na kuendelea na ziara yake ya kichama kama ambavyo niliwajuzeni humu jukwaani. Ambapo ameambatana na wajumbe wa sekretarieti akiwepo katibu wetu Mwenezi CCM Taifa Ndugu CPA Amos Makala.
Ambapo katibu Mkuu wetu ameweza kufika katika Nyumba ya milele ya Hayati Benjamini Mkapa Rais wa awamu ya Tatu wa Tanzania,aliyefariki Mwaka 2020 Julai 24 na kuzikwa Julai 29 nyumbani kwake Lupaso. Ambapo katibu wetu ameeleza mengi sana juu ya uhusiano wake mzuri na Hayati Benjamini Mkapa na namna alivyofanya naye kazi kwa takribani miaka saba.
Ambapo Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Amesema ya kuwa siku Moja aliitwa na Hayati Mzee Mkapa akaulizwa juu ya Elimu yake ,ambapo alijibu kuwa ana shahada moja tu. Akasema kuwa akamwambia Elimu hiyo haitoshi kwa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa .Ambapo Akaulizwa kwanini hajaendelea na masomo ya juu zaidi. Akajibu kuwa hana ada.
Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ameendelea kusema kuwa baada ya jibu hilo mazungumzo yakaishia hapo ,ambapo hata hivyo baada ya siku chache aliitwa na mtu ambaye alimwambia kuwa kuna barua yake kutoka kwa Rais.na alipokutana na mtu huyo alimweleza ya kuwa Rais amefanya utafiti na uchunguzi na kugundua vyuo vya Mzumbe na Chuo kikuu cha Dar ada zake hazizidi million mbili na hivyo achukue hela akalipe ada ili aendelee na masomo.
Hata hivyo Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi amesikitika na kuumia sana kukosa mazishi ya kiongozi huyo anayekumbukwa kwa kuanzisha Taasisi mbalimbali hapa Nchini ambazo zinaendelea kufanya vyema sana.taasisi hizo ni kama vile TRA na zingine nyingi sana.
Anasema sababu ya kushindwa kuhudhuria ni kwa kuwa wakati huo kulikuwa na ugonjwa wa Corona ,ambapo viwanja vilikuwa vimefungwa na hivyo akashindwa kusafiri kuja Nchini kushiriki Mazishi,anasema kuwa ndio maana alipofika tu nchini alikwenda moja kwa moja kwa Mama Anna Mkapa Kumpa pole. Na kwamba leo anayo furaha kutembelea mahali alipo lala Hayati Benjamini Mkapa.
Baada ya kusikia maneno hayo Mimi Mwashambwa nimeona kuwa Inaonyesha Hayati Mzee Benjamin Mkapa alikuwa na moyo mzuri .maana nakumbuka kama sijakosea hata Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete amewahi kusema hadharani kuwa alilipiwa ada na Hayati Mkapa.
Rai yangu ni kuwaomba viongozi na wote wenye uwezo na nafasi ya kifedha kuweza kusaidia wenye uhitaji na wasio na uwezo. Siyo tu kwa wale wanaowafahamu bali hata kwa wale ambao hawawafahamu lakini wamewaona kuwa wana shida na uhitaji.
Mwisho naendelea kuwakumbusha kwa maneno haya kutoka kwenye Biblia ndugu zangu. Kwa kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalumu chini ya mbingu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
View attachment 3055105
Mimi nami Nililipiwa chuo na serikali ya Mstaafu Mheshimiwa Mzee Daktari Jakaya Mrisho Kikwete kupitia Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu. Kidumu chama cha MapinduziHata Ridhiwani alilipiwa Ada na Mkapa
Makonda na Zitto Kabwe walilipiwa na Samuel Sitta
Mnyika alilipiwa na Malecela nk
Sisi tulisoma bure hadi Chuo kikuu na kulazimishwa kufanya Kazi serikalini kwa miaka 5 mfululizoMimi nami Nililipiwa chuo na serikali ya Mstaafu Mheshimiwa Mzee Daktari Jakaya Mrisho Kikwete kupitia Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu. Kidumu chama cha Mapinduzi