Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #41
Kwa hakika Watanzania tuna kila sababu ya kuishukuru sana CCMSisi tulisoma bure hadi Chuo kikuu na kulazimishwa kufanya Kazi serikalini kwa miaka 5 mfululizo
Wewe wa Bodi ya Mikopo CCM imekulipiaje? 😂😂